Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa



Wapenda pikipiki kubwa aghalabu ndio haohao wapenda "Mizigo mikubwa".
 
Naombeni maelezo ya hii pikipiki hapa chini,je bongo zipo? Nazipataje fasta? Mahitaji ya cc 200,ukiweza nipe actual bei.





 
Bei gani?
 
Mashine kama hii ukiwa nayo Tanzania unapata wapi mafundi wa uhakika?
Polisi Ufundi pale utapata mpaka spea Kwa Bei kitonga maana ndio wanafanya service ya bike zote kubwa za Escort. Kinondoni Kuna fundi anaitwa Panya na Magomeni Mitaa ya Mapipa Kuna wakina Juma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…