I ivan don JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 337 Reaction score 447 Jun 10, 2017 #61 Taarifa za ndani zinasema kwamba morata teyari ni mchezaji wa Man U, ata kwenye Instagram acc yake alipokuwa kaanzdika mchezaji wa Real Madrid, amefuta hivo inaashilia deal DONE
Taarifa za ndani zinasema kwamba morata teyari ni mchezaji wa Man U, ata kwenye Instagram acc yake alipokuwa kaanzdika mchezaji wa Real Madrid, amefuta hivo inaashilia deal DONE
Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 734 Jun 12, 2017 #62 morata man united tayari yupo mbioni kwa milioni 60 na bekibwa sweden kwa pauni mili 35.safi
mkale JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 1,618 Reaction score 1,753 Jun 21, 2017 #63 dani alves anakaribia kutua man city kwa mkatba wa miaka miwili..