Thread Maalumu kwa taarifa na tetesi za usajiri Barani Ulaya na Tanzania

Thread Maalumu kwa taarifa na tetesi za usajiri Barani Ulaya na Tanzania

Taarifa za ndani zinasema kwamba morata teyari ni mchezaji wa Man U, ata kwenye Instagram acc yake alipokuwa kaanzdika mchezaji wa Real Madrid, amefuta hivo inaashilia deal DONE
 
morata man united tayari yupo mbioni kwa milioni 60 na bekibwa sweden kwa pauni mili 35.safi
 
dani alves anakaribia kutua man city kwa mkatba wa miaka miwili..
 
Back
Top Bottom