britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Uzi wa awali ulieleza jinsi Urusi alivyopoteza, Vitani ila huu utaangalia Uchumi na uwekezaji
MAUZO
Mauzo nje yameshuka kwa asilimia 30 tokea amewekwa vikwazo
Hungary imesitisha uingizaji wa mafuta Ya Urusi kwa asilimia 20%
Ufaransa imepunguza utegemezi wa mafuta ya Urusi Kwa asilimia 30%
Estonia na Lativia wamesitisha Kabisa
Ujerumani imepunguza uingizaji Na utegemezi wa mafuta Ya Urusi kwa asilimia 25 mpaka jioni hii
Mbolea ilikuwa inauzwa Ulaya na Asia imezorota Baada Ya Pakistan na Thaikand kusitisha ununuzi wa mbolea Kutoka Urusi katikati Ya Mwezi wa 3 na kutegemea mbolea zao za ndani,
AJIRA
Baada ya Makampuni 1200 makubwa na Madogo kufunga kufanya Biashara Urusi Warusi wamekosa ajira na wananchi wa Rostov on don Leo walitishia kuitisha maandamano yasiyo na kikomo kwa Mwezi huu,
Ajira zaidi ya 3M zimepotea haraka , Pia na mashirika washirika wa makampuni yanayofanya kazi na ya Urusi yamesitisha Ajira kwa Warusi zaid ya 2,4M duniani kote
Matangazo zaidi ya 10M yaliyokuwa yanatangazwa kupitia Instagram na Facebook yamesitisha na kusababisha hasara Kwa asilimia 38% Kwa wa fanya biashara wa Urusi .
KANDARASI ZAIDI YA 64 ZA URUSI ZIMESITISHWA DUNIANI
Urusi ana Kandarasi katika nchi Mbalimbali duniani Hasa Asia na Ulaya mashariki zimesitishwa kutokana na Vita ya Ukraine
Mradi wa Bomba la Nodrik wa Ujerumani umesitishwa,
Mradi wa Sputnik na Skype umesitishwa
Mradi wa kushirikiana na NPP estonia kuzalisha Nishati umesitishwa
Mradi wa Treni wa Finland na MOSCOW Umeaitishwa
Mradi wa Trading kati ya Frankfurt Market na St. Petersburg haupo tena
KUHUSU BEI AU THAMANI YA RUBLE HAIKO STABLE.
Kuna kelele zinaendelea kwamba Ruble imegain value ni kweli Book value imepanda for speculating calculations
Ila MARKET VALUE NI TOFAUTI
BOOK VALEU NI 1$ kwa 87RB
Ila MARKET VALUE NI 1$ KWA 117RB
Kwanza wengine wameacha hata kuzuiuza
Nimeingia benki ya Krungsri ya **** ambayo ni Corporate branch ya oversees ya Bangkok 1$ inabadilishwa kiuhalisia Kwa 120RB
Privat Bank wanabadilisha 1$ Kwa 116RB
Mono Bank wanabadilisha 1$ Kwa 117RB
HSBC wanabalisha 1$ Kwa 110RB
Lakin Kwa Mavitabu Au Book Value ya Mtandao utanambiwa ni 87 per USD
UJIRA NA MISHAHARA
Mishahara ya wafanyakazi wa serikali ndani ya Urusi imepunguzwa Kwa asilimia 18
Mshahara wa afisa ngazi ya chini alikuwa analipwa
1000$ Kwa mwezi sawa na 110,000Rubles ila sasa wanalipwa 71,000 Yaan 720$
Ma shirika binafsi wameshushwa toka 85,000RB mpaka 58,000RB
Mashirika binafsi kadhaa yameshusha ila mengi yamepunguza wafanyakazi
Sources Sputnik, Banks Krungsri, Privat Bank, Mono Bank, Private and Government employees through their notifications
Naendelea Naendelea
Britanicca