Thread number 2 Hassara Ya Urusi kwenye Vita Ya Ukraine

Na Una source yoyote Uchumi wa Russia unaporomoka kwa Kasi?

Hizo nyingine ni blah blah najikita hii paragraph ya mwisho,hata kabla ya Vita Russia hayupo katika mataifa yenye uchumi wenye nguvu Duniani,hajawahi na hatokuja kuwa katika top 15,sembuse leo na vikwazo lukuki alivyowekewa,huko alikokuwa ananing'inia ataporomoka zaidi nq zaidi.
 
Huyo Russia anashindwa nini kuweka taarifa sahihi Dunia ili izijue
 
Hajawahi wakati mtu alikuamo mpaka kwa G-7 mukamtoa kimichongo
Kama mnavyotaka kumtoa kimichongo huko G-20
 
Tatizo propaganda za kuokoteza shida huwa hazipangiliki
haiwezekani punguzo la mshahara la 18%
ndo iwe kutoka 1000$ mpk 72$
yaan hesabu zimekataa
km kungekuwa na punguzo la 18% inamaana kutoka 1000$ basi ingekuwa 820$ ila siyo hiyo 72$
Wewe nae sasa huoni hapo ni typing error akaskip kuweka 0 it was meant to be $720.Unavyokosoa utadhani wewe huwa hukosei kuandika.Btw povu ruksa maana mmeshavurugwa vibaya sana Warussi wa Kolelo [emoji3]
 
Hajawahi wakati mtu alikuamo mpaka kwa G-7 mukamtoa kimichongo
Kama mnavyotaka kumtoa kimichongo huko G-20
Russia hajawahi kuwa katika top 15 na hatokuja kuwa period.Mkuu kule kwa uzi mwingine ulikuwa unabisha unyama wa Warussi waliowafanyia Wananchi wa Bucha,baada ta kuona live picha jinsi wanavyowaua watu una lipi la kusema,au kama kawaida yenu umefunika kombe [emoji3].Putin is the War Criminal na iko siku atasimama kizimbani,labda ajiwahishe mwenyewe kwa Muumba.
 
Kwani Ukraine 🇺🇦 wamepata faida gani vitani?

Kuna mbususu zao zimekwama Zanzibar zinapigwa tu show na wafuga majini
 
Watu wazima wanakaa na kujadili eti kuwawekea vikwazo watoto was Putin... pathetic....ndo hasara hiyo!?
Haha wanakwambia vikwazo viziiito zaidi vinaandaliwa. . .. .....wazee walikua na akili kusema mungu si Athumani maana angekua Athumani hawa jamaa wangewawekea hadi vikwazo vya kuvuta oxygen
 
Ngoja waje waRussia wa mlandizi na goba njia 4 waje[emoji16]
 
Wewe nae sasa huoni hapo ni typing error akaskip kuweka 0 it was meant to be $720.Unavyokosoa utadhani wewe huwa hukosei kuandika.Btw povu ruksa maana mmeshavurugwa vibaya sana Warussi wa Kolelo [emoji3]
hapo hakuna cha typing error ukiokoteza propaganda uwe unazi hakiki kwanza
hapo bado hesabu haziendi japo kaediti kuongeza 0 ili ionekane typing error
lakini bado hesabu zimebuma
720$ ni punguzo la 28% na ukija kwa ruble kwa namba alizoweka ni punguzo la 34%
sasa hilo punguzo la 18% likowapi
au shule ndio nawe ulikuwa dizaini ya hawa
 
Pale unapotokwa povu kujidai unajua sana kumbe hata kuandika tu kwenyewe ni shida.Haya edit basi walau hii comment yako ilete maana maana hivi ilivyo hata haieleweki
 
Pale unapotokwa povu kujidai unajua sana kumbe hata kuandika tu kwenyewe ni shida.Haya edit basi walau hii comment yako ilete maana maana hivi ilivyo hata haieleweki
mkuu me huwa napenda HOJA kwa HOJA
Huwa mabishano yasiyokuwa na HOJA hayanivutii kuchangia achilia mbali kuyafatilia
kama utakuwa na HOJA bora zaidi iweke tu changie
 
mkuu me huwa napenda HOJA kwa HOJA
Huwa mabishano yasiyokuwa na HOJA hayanivutii kuchangia achilia mbali kuyafatilia
kama utakuwa na HOJA bora zaidi iweke tu changie
Ungejua sina hoja ungepita kimya kimya tangu mwanzo.Wasalimie Kremlin
 
Utakuja na nyuzi hata 30, haziwezi kua na maana sababu umekaa kishabiki shabiki. Mwanzo ulisema urusi ameishiwa bidhaa kwenye supermarket, tumekuuliza kuna raia amekufa kwa njaa?
Tuambie leo dollar ya marekani dhidi ya ruble ya urusi, miezi mitatu nyuma ilikuaje. Tuambie bei ya mafuta US na Europe na miez miwili nyuma hali ilikuaje.
Sasa nchi ipo kwenye millitart operation na ina vikwazo zaidi ya nchi 30, ulitegemea hali kua sane? Mnaenda shule gani?

Wadanganye hao hao.
 
mkuu me huwa napenda HOJA kwa HOJA
Huwa mabishano yasiyokuwa na HOJA hayanivutii kuchangia achilia mbali kuyafatilia
kama utakuwa na HOJA bora zaidi iweke tu changie
Hana hoja huyo, ni umbea na ushabiki. Anachotaka kusikia ni urusi kushindwa. Achana na mapoyoyo haya
 
Sawa kama Russia hana Influence kwanini yupo G7? Kwanini ana Veto power?

Ni Nchi 5 tu duniani zenye Veto power Usa, Russia, Uingereza, Ufaransa na China.

Mkuu Russia kwa sasa ukipima kwa GDP ni wa 11 kwa haraka haraka akili za Kitaa utasema Russia ana Uchumi mdogo, ila huu ni ukweli mdogo tu.

Njoo kwenye madeni sasa

Chukulia mfano Taifa la Italy GDP yao ni 2.1 Trilion wakati Urusi ni 1.6 Trilion, hapo Utasema Italy wapo Vizuri ila Italy Deni lao la Taifa ni Trilioni 2.5 wakati Urusi ni Bilioni 400 tu (fedha zote kwa dola za kimarekani) na si Italy Tu Mataifa yote ya Kimagharibi yana Madeni makubwa sana, Uingereza Trilioni 9, Marekani Trilioni 30 etc.
 
Wewe nae sasa huoni hapo ni typing error akaskip kuweka 0 it was meant to be $720.Unavyokosoa utadhani wewe huwa hukosei kuandika.Btw povu ruksa maana mmeshavurugwa vibaya sana Warussi wa Kolelo [emoji3]
Acha kubweka wewe

100%-18% =82%

Rudi shule wahed!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…