mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
asante sana lazima utakuwa una masters ya philosophy..saf sana
kumbe huna mtoto sasa kaa kimya swine
Kiingilio 5m,alafu ukute Zuchu analipwa 3m.misaniii yetu bana.
Kama ni kuangalia show tu hapana ila kama ni kuangalia show na kumpiga show labda
Unawashwa matako eeh.......yesu kafikaje hapo???Huyo Zuchu amekua YESU?
Unawashwa matako eeh.......yesu kafikaje hapo???
Ngoja niwasaidie kuweka maelezo na rekodi sawasawa. Ni kwamba kutakuwa na meza zenye viti kumi kumi, hizo meza zitakuwa na vinywaji vya aina na thamani nyingi na tofauti tofauti na vitafunwa (bites) pia. Ninyi watu kumi mnaweza kuchangia hiyo meza nakulipa kila mmoja wenu kiasi husika. Kwa mfano hiyo ya milioni tano (5 mil) mnaweza kuichangia watu kumi na kila mmoja wenu akatoa nusu milioni au 500,000/=. Hiyo ndiyo maana ya hizo bei kwa hiyo shoo. Lakini haikatazwi wewe mwenye mihela yako ukanunua meza moja na kuwakaribisha watu wako. Ni kweli 5m/= kwa Watanzania wengine au hata kwenye mashirika na ofisi mbalimbali za binafsi SIYO HOJA! Kazi kwenu.Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?
Zuchu yuko overpriced
Naona mmekazania tu 'waache waache' sijaona sehemu mkisema 'tuache' kwahiyo tufunge mzozo tu kama hapa hao watu hawapo basi na huko duniani hawapo pia
Hiyo hela si bora nishushe pornstar bongo nimdinye wiki nzima
mtuandalie shoo yenu ya kiingilio milioni kumiDuh... Kama promotion tu mnajitahidi huyo zwichi sijui hafikii hata robo ya uwezo wa Nandi, maua, na wengineo
hata huyo Niki Minaj haonwi kwa mil 5ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?
Subiri show ya Alikiba ya buku 3Ni ujinga na utaaira wa kiwango cha HD
Ukumbi Ni wa Mlimani CityUkumbi nahisi ni mdogo ndiyo maana wamatoza kiasi hicho ili waende wenye uwezo
Subiri show ya Alikiba ya 3000Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?
Zuchu yuko overpriced
Sema huna hela ndio maana unaongea hivyoUnahitaji pia uwe KICHAA