Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?

Zuchu yuko overpriced
Ngoja niwasaidie kuweka maelezo na rekodi sawasawa. Ni kwamba kutakuwa na meza zenye viti kumi kumi, hizo meza zitakuwa na vinywaji vya aina na thamani nyingi na tofauti tofauti na vitafunwa (bites) pia. Ninyi watu kumi mnaweza kuchangia hiyo meza nakulipa kila mmoja wenu kiasi husika. Kwa mfano hiyo ya milioni tano (5 mil) mnaweza kuichangia watu kumi na kila mmoja wenu akatoa nusu milioni au 500,000/=. Hiyo ndiyo maana ya hizo bei kwa hiyo shoo. Lakini haikatazwi wewe mwenye mihela yako ukanunua meza moja na kuwakaribisha watu wako. Ni kweli 5m/= kwa Watanzania wengine au hata kwenye mashirika na ofisi mbalimbali za binafsi SIYO HOJA! Kazi kwenu.
 
Naona mmekazania tu 'waache waache' sijaona sehemu mkisema 'tuache' kwahiyo tufunge mzozo tu kama hapa hao watu hawapo basi na huko duniani hawapo pia


Hiyo hela si bora nishushe pornstar bongo nimdinye wiki nzima

[emoji2325]nimekupa NAZI salute
 
Its all about Branding my friend.

Leo zuchu akifanya show ya 5 million (VVIP tickets) hakuna promoter atakuja kumtaka Zuchu kwa dau la kipumbavu vilevile Kampuni zinazotoa deals mbalimbali lazima zitakuja na donge nono

Kwa maneno mengine Zuchu anaongezewa thamani na hii show yake , mind you its her first official show, sasa jiulize 3 to 4 years after atakuwa wapi!!
 
Madrug dealer,wanasiasa wakubwa,wazee wa hela za kudownload kama hushpup,C.E.O wa makampuni makubwa hiyo hela kama wananunua karanga.

Ila sie wazee wa vitambulisho vya ujasiriamali vya elf 2O tusubirie show ya Lissu akitua uwanjani itakuwa bure.
 
Back
Top Bottom