Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo mwanamke hatakiw kumpenda mwanamke mwenzie sio? We jamaa kavu sanaMwanamke ampende mwanamke mwenzie kwa malengo yapi?
Madume yanaipigia misele "mbunye" au kichwa chako ram 64mb?
Combination ya Jide na Zuchu ilinitoa machozi.. Jide kakutana na mashetani wengi mnoo.. Lakni bado anasimama..Alafu nilimsahau huyu mwamba dula makabila aisee jamaa aliua Sana ila aliyopiga inaitwa classic singeli wakati alivyoitwa kupanda stage nikajiuliza singeli na tukio la event jamaa atafanya Nini? lakini the end of the day amenishangaza Sana.
Umejuaje kwamba hawafanikiwi mkuu?Asilimia 90 ya watz uenda kwa wataalamu mbona awafanikiwi
Acha wivu ruby wakati wake ushapita hata kama humpendi kubali uwepo wake nw japo waumiaChuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.
Mzee baba Hili jukwaa tunajuana Sana so usijifiche kwenye Hilo chaka wewe sio tu una chuki dhidi ya Zuchu Bali unachuki na Wasafi kwa ujumla Nani asiyekujuaHebu angalia mawazo ya watu hapa wengi wanasemaje kuhusu perfomance ya zuchu,wewe umekuja kusifia na watu wanatoa maoni,sasa ulileta uzi wa nini kama kama kukosoa ni chuki
Chuki unaleta ww mkuu...ile show wala haiitaj hype...naww unaungana na mijanamke inayomchukia mtoto wa watu?Tatizo wengi humu watu wanasupport kwa kuangalia team flani ukisema ukweli wanasema una chuki
Jide yupo vizuri sana ndio mwanamke pekee anayeweza kutengeneza competition na wasanii wa kiume.Combination ya Jide na Zuchu ilinitoa machozi.. Jide kakutana na mashetani wengi mnoo.. Lakni bado anasimama..
Hail to the Queen...
Kabisa Jide was much better kuliko huyu Zuchu. Ndo maana wasafi walikuwa wanasita kumsainisha kwa miaka minne. Believe me asingekuwa mtoto wa Khadija Kopa asingesainishwa pale WBC.Frankly speaking kuwa mtoto wa Khadija Kopa ndo kumemfanya ainginzwe WBCZuchu hana excuse kwa show mbovu ya jana. Amezaliwa na kulelewa na nguli wa performance Khadija Kopa, hata hajifunzi kwa mama yake? Miaka yote minne aliyosema alikuwa kwenye mafunzo huko usafini ndio utopolo gani ule?
Ieleweke nampenda sana mama yake, nimejikuta nampa sapoti sababu ya mama yake ila kaniangusha sana. Anapayuka kama yuko kilabuni ati anaperfom live na bendi!
Tazama mama yake aliposhika Mic, sawa uzoefu unachangia ila roho yangu ilisuuzika, she is the best. Ndiye pekee aliyeuchezesha ukumbi mzima bila kumsahau Jide huyu ni kiboko inafahamika, Mbosso na Dullah Makabila alinishangaza, anajua sana.
Nimepitia thread zako kumbe ni Hater wa Wcb....sishangai hizi comment[emoji3]Hebu angalia mawazo ya watu hapa wengi wanasemaje kuhusu perfomance ya zuchu,wewe umekuja kusifia na watu wanatoa maoni,sasa ulileta uzi wa nini kama kama kukosoa ni chuki
Dada watu yupo vizuri sema wivu wako binafsi ndio unaokusumbua.Kabisa Jide was much better kuliko huyu Zuchu. Ndo maana wasafi walikuwa wanasita kumsainisha kwa miaka minne. Believe me asingekuwa mtoto wa Khadija Kopa asingesainishwa pale WBC.Frankly speaking kuwa mtoto wa Khadija Kopa ndo kumemfanya ainginzwe WBC
Chuki unaleta ww mkuu...ile show wala haiitaj hype...naww unaungana na mijanamke inayomchukia mtoto wa watu?
Zuchu hawezi fanya mapinduzi. Nandy is more better bwana. Acheni kumwita Zuchu malkia wa bongoflavor.Acha wivu ruby wakati wake ushapita hata kama humpendi kubali uwepo wake nw japo waumia
Tatizo linaanzia kwako team kiba...nyuzi zako mbona zipo wazi kbisa..[emoji3][emoji3]Tatizo wengi humu watu wanasupport kwa kuangalia team flani ukisema ukweli wanasema una chuki
We Ni hater wa WCB Hilo lipo wazi Wala usikatae Bora umchukie mtu Kama best naso utateseka moyo bahati mbaya unachuki na Wasanii wanaoendesha mziki wa bongo right now si unajikondesha moyo wako?Sasa wewe unataka tuwe na mtazamo mmoja?
Kitaa kipi hicho maisha magumu[emoji848][emoji848]??Aisee, mbona huku kitaa maisha magumu sana?
Huyo sio team Kiba maana pia anampondaga Sana kiba I think ana upande lakini sijui Ni upi?Tatizo linaanzia kwako team kiba...nyuzi zako mbona zipo wazi kbisa..[emoji3][emoji3]
Wewe tena tokea lini ushawahi isifia WCB,mara walikuwa wanampa harmonize hela ndogo,mara Mondi mchawi,mara Babutale kamtoa kafara mkewe (mtazani mlikuwa wote kilingeni),leo tena kwa Zuchu.Tatizo unaongozwa na chuki so huwezi ona zuri lolote upande wa WCB.Chuchu hamna kitu. Ni lebel tu ndo inambeba. Now nimeelewa why alikaa miaka minne bila kusaigniwa. Hana kipaji,sauti mbaya,kutawala jukwaa hajui.
Diamond hivi kweli si bora ungemsign Ruby. Ruby ni moto kabarikiwa yule binti. Ni vile hana promo tu .Angekuwa Mwislam im sure angesainiwa pale wasafi.