Thread za JF na Avatar zenye sura za watu

SHIEKA
Hata wewe sikuelewi kabisa.
Mara umuweke bwana Macha na saa hizi tena Elvis Presley,
Hawa wanafanana Arts tu. Mojawapo hapo ni Journalist. (A damn good one)
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Mh harakati za Ghost [emoji119] " naisubiria season 3 kwa hamu sana..
power wameichelewesha sana tomm na ghost sijui nini kimewatokea wale jamaa ni wahuni sijapata kuona wanafanana na mjinga flan anaitwa nathan kwenye misfits
 
power wameichelewesha sana tomm na ghost sijui nini kimewatokea wale jamaa ni wahuni sijapata kuona wanafanana na mjinga flan anaitwa nathan kwenye misfits
Ghost na Tommy ndio wanaibeba series nzima"sema sijui season3 itakuaje maana wameSeparate.. nachojua mkataba waliongezewa chini ya Director 50Cent na wameshoot tayari season 3 bado kuirelease tu.
 
Ghost na Tommy ndio wanaibeba series nzima"sema sijui season3 itakuaje maana wameSeparate.. nachojua mkataba waliongezewa chini ya Director 50Cent na wameshoot tayari season 3 bado kuirelease tu.
Kama wameshoot itatoka mkuu

Power S01 haikua na rating nzuri kabisa ila wakakomaa na kutoa S02 so wataiendeleza tuuu...
 
Tatizo lugha khaaaaa rasi simba hajaeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…