Kakole
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,094
- 1,747
Ushindwe kunenepaAaah hapo sasa.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindwe kunenepaAaah hapo sasa.......
hahaha huu mwili siku hizi hauna shukrani khaaaaUshindwe kunenepa
hahahahaha...........kusifiwa kote huko bado tu, itabidi tukufanyie maombi basihahaha huu mwili siku hizi hauna shukrani khaaaa
Hahaha labda nina roho mbaya, si wanasema ukiwa na roho mbaya hunenepi eti tehhahahahaha...........kusifiwa kote huko bado tu, itabidi tukufanyie maombi basi
Hayo sasa umesema wewe, ila kama vile kuna kaukweli juu ya hilo, ila sina uhakika sana.Hahaha labda nina roho mbaya, si wanasema ukiwa na roho mbaya hunenepi eti teh
Hahaha jamani. ...Hayo sasa umesema wewe, ila kama vile kuna kaukweli juu ya hilo, ila sina uhakika sana.
Hebu google labda tunawezapata jibu sahihiHahaha jamani. ...
power wameichelewesha sana tomm na ghost sijui nini kimewatokea wale jamaa ni wahuni sijapata kuona wanafanana na mjinga flan anaitwa nathan kwenye misfitsMh harakati za Ghost [emoji119] " naisubiria season 3 kwa hamu sana..
![]()
Duuuh! mkuu uko vzr sana basiNipo kama nilivyo..
Ghost na Tommy ndio wanaibeba series nzima"sema sijui season3 itakuaje maana wameSeparate.. nachojua mkataba waliongezewa chini ya Director 50Cent na wameshoot tayari season 3 bado kuirelease tu.power wameichelewesha sana tomm na ghost sijui nini kimewatokea wale jamaa ni wahuni sijapata kuona wanafanana na mjinga flan anaitwa nathan kwenye misfits
Kama wameshoot itatoka mkuuGhost na Tommy ndio wanaibeba series nzima"sema sijui season3 itakuaje maana wameSeparate.. nachojua mkataba waliongezewa chini ya Director 50Cent na wameshoot tayari season 3 bado kuirelease tu.
Uko vizuri sanaAaah hapo sasa.......
Ahsante sana[emoji120] [emoji120] [emoji120]Uko vizuri sana
Ndaga fijoAhsante sana[emoji120] [emoji120] [emoji120]