Thread za JF na Avatar zenye sura za watu

Thread za JF na Avatar zenye sura za watu

habari zenu wapendwa,hope maandalizi ya weekend hii ndefu yanaenda vizuri.....
Kwa kawaida kama binadamu huwa tunatokea kuvutiwa na michango ya members wenzetu kwa namna moja au nyingine, ni jambo jema na binafsi kuna baadhi ya watu wananivutia kwa michango ya mawazo wanayotoa humu jf,lakini mara nyingi kuvutiwa na mawazo ya mtu huambatana na avatar anayotumia mtu Hahahaa jamaniii nisirushiwe mawe kwa nnachotaka kukisema but atleast am honest here.....kusema kweli kuna wakati tunavutiwa na avatar,lolest
shida inakuja siku unakutana na member avatar yake aliweka mkaka mmoja HB na eight packs zake lahaula tobaaa kitambi hicho ka chungu teh teh sio vizuri hivyo mnatushtua jamani au dada aliweka mdada mmoja mrembo rangi ya jogoo ukikutana nae ni cheusi mangala eeh na mtu alijiandaa kumuona chawhite....wewe unajijua ni mzee ila umeweka picha ya kijana,unatuchanganyaaa yani full mixer...
binafsi hio avatar kidogo inasadiki nilivyo,cheusi mangala,hebu tuelezane kwanini ulichagua avatar hio unayoitumia?labda kuna mengi wengine tusiyoyajua,mwageni experience zenu...

Haahhaaaa ngoja WA kusikie kitambi kama chungu., haaahhaaaa..( simo), Jf raha, hhaahaa... Me naona ni kitambi cha money, money ( kwa wale vibosile ) ila kuna raha yake ya kuwa na kitambi but ndio hivyo hawaonyeshi kwa avatar zao.
haaaahaaa.. Thanks..
 
Natumia mkono wa kushoto. Hayo mengine sijakuelewa....... Kindly be more specific. Totally i didn't get you.

Okay dear , nimeelewa now.. Honestly sikuelewa maana ya avatar yako haswa uliposema ndivyo ulivyo.. People who are Left handed , they are very Blessed ... So you are Blessed dear .. Thanks..
 
Hahaha kitambi kama chungu lol

I adore beautiful black natural girls ndo maana avatars zangu zinakuwa za design hiyo. As for me, sura na shape ni vya mjomba kama wanyaki originale tulivyo teh teh
hahaha ati shape na sura ya mjomba, haha duh...at least watu wanapata picha heaven ni black beauty lol
 
M
I am humbled. Unakaribishwa PM UKIJIHISI UCHOVU NJOO UTEMBEE
Mmhmm yamekuwa hayo .haahaaaaa... Thank you , I think Niko active not tired yet .. Asante kwa offer though aaahhaaa... Thanks..
 
Haahhaaaa ngoja WA kusikie kitambi kama chungu., haaahhaaaa..( simo), Jf raha, hhaahaa... Me naona ni kitambi cha money, money ( kwa wale vibosile ) ila kuna raha yake ya kuwa na kitambi but ndio hivyo hawaonyeshi kwa avatar zao.
haaaahaaa.. Thanks..
Hahahaa kuna vitambi ukiviona hadi unapata ukakasi unajikaza tu,teh teh
 
M

Mmhmm yamekuwa hayo .haahaaaaa... Thank you , I think Niko active not tired yet .. Asante kwa offer though aaahhaaa... Thanks..
Usiwe na wasiwasi pia uje PM KUNA A/C Kama unataka kupumzika si unaona mjinii joto kali.
 
Hahahaa kuna vitambi ukiviona hadi unapata ukakasi unajikaza tu,teh teh

Haaahaaaaaa, haki please I beg nionee huruma the place I am right now can't laugh louder, and I'm dying here aaaaahhhaaaaa mbavu zangu mie uwiiiiiiiiii Lord help me please, hhhaaaahhaaa.. Thanks..
 
Haaahaaaaaa, haki please I beg nionee huruma the place I am right now can't laugh louder, and I'm dying here aaaaahhhaaaaa mbavu zangu mie uwiiiiiiiiii Lord help me please, hhhaaaahhaaa.. Thanks..
Upo church?
 
Love is not that sweet, why you're so late..... Up to now i didn't get any. PM From you?! PM PIA KUNA VINYWAJI KARIBU

Too bad PM can't go through .. Zimestuck on the way .. Keep on waiting , probably you will get lucky one day.... Thanks..
 
Kama Mo11 na avatar yake plus majibu/post zake!!![emoji125] [emoji125]
 
Hahaha kitambi kama chungu lol

I adore beautiful black natural girls ndo maana avatars zangu zinakuwa za design hiyo. As for me, sura na shape ni vya mjomba kama wanyaki originale tulivyo teh teh
Kumbe ww dada angu wa damu kabsaaa....ndo maana tuna pendana...lol...ndagha mama
 
Back
Top Bottom