Thread za Warumi zilizovuma Global Publisher

Thread za Warumi zilizovuma Global Publisher

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Duh kweli warumi noma , ila na nyie global muwe mnasema basi na source, mbona sisi tukichukua habari kwenu tunasema? Next time mtaje bhana, ila I feel Good kwa kweli kukuta habari niliyoiandika Mimi kuuza sura kwenye Gazeti namba moko la udaku, sio kawaida unajua? Kama unabisha anzisha thread yako kama itaandikwa popote, kuandika sio mchezo asikwambie mtu , mda mwingine uwa natumia akili za ziada kutengeneza habari ambayo najua itadumu vichwani mwa watu na kuongelewa sana, japokuwa wengi wanadhani mda wote na copy na Ku paste, besides napenda kuandika and soon mtasikia nimeajiriwa kwenye Gazeti la udaku, shukrani pia kwa wana Jamii forum wenzangu kwa support mnayonipa.

Bila nyie habari zangu zisingewafikia hadi wakina shigongo, najua watu wengi wanafuatilia thread zangu , mnanipa nguvu mno, yaani nipo tayar hata kusafiri ilimradi tu niwaletee kitu roho inapenda. Wengine wanaweza kuniona napoteza mda kufuatilia maisha ya watu , ila hawajui hii inaweza pia kunipatia kipato kizuri tu na maisha yakaendelea.

Back to the Topic, hizo habari kwenye gazeti apo ndizo habari ambazo nilizowahi kuziandikia thread humu siku mbili zilizopita na kuongelewa na watu wengi zaidi , Thanks Global for seeing my work na kuzi retype on your newspaper. I'm soooo crazy happy for this. Samahani kwa kujianzishia thread wadau, nilitaka Ku share na nyinyi hii habari ambayo kwangu ni nzuri. Kwa wanaofuatilia thread zangu hizi habari sio ngeni kwenu
 

Attachments

  • 1396363635979.jpg
    1396363635979.jpg
    90.5 KB · Views: 1,265
  • 1396363821349.jpg
    1396363821349.jpg
    80.7 KB · Views: 1,211
Hongera sana Warumi,keep it up,nunua kabisa kamera uwe unawavizia masupasta uwe mwandishi wa kujitegemea
 
Hongera sana Warumi,keep it up,nunua kabisa kamera uwe unawavizia masupasta uwe mwandishi wa kujitegemea

Thanks mkuu, yah hii kazi lazima niifanye kaka, nailewa vizuri na nina experience ya kutosha kuhusu hawa mastaa wetu so stay tune, kila kitu kitawekwa humu.
 
Thanks mkuu, yah hii kazi lazima niifanye kaka, nailewa vizuri na nina experience ya kutosha kuhusu hawa mastaa wetu so stay tune, kila kitu kitawekwa humu.
thumb up warumi. Matola.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Duh kweli warumi noma , ila na nyie global muwe mnasema basi na source, mbona sisi tukichukua habari kwenu tunasema? Next time mtaje bhana, ila I feel Good kwa kweli kukuta habari niliyoiandika Mimi kuuza sura kwenye Gazeti namba moko la udaku, sio kawaida unajua? Kama unabisha anzisha thread yako kama itaandikwa popote, kuandika sio mchezo asikwambie mtu , mda mwingine uwa natumia akili za ziada kutengeneza habari ambayo najua itadumu vichwani mwa watu na kuongelewa sana, japokuwa wengi wanadhani mda wote na copy na Ku paste, besides napenda kuandika and soon mtasikia nimeajiriwa kwenye Gazeti la udaku, shukrani pia kwa wana Jamii forum wenzangu kwa support mnayonipa , bila nyie habari zangu zisingewafikia hadi wakina shigongo, najua watu wengi wanafuatilia thread zangu , mnanipa nguvu mno, yaani nipo tayar hata kusafiri ilimradi tu niwaletee kitu roho inapenda. Wengine wanaweza kuniona napoteza mda kufuatilia maisha ya watu , ila hawajui hii inaweza pia kunipatia kipato kizuri tu na maisha yakaendelea.
Back to the Topic, hizo habari kwenye gazeti apo ndizo habari ambazo nilizowahi kuziandikia thread humu siku mbili zilizopita na kuongelewa na watu wengi zaidi , Thanks Global for seeing my work na kuzi retype on your newspaper.I'm soooo crazy happy for this. Samahani kwa kujianzishia thread wadau, nilitaka Ku share na nyinyi hii habari ambayo kwangu ni nzuri. Kwa wanaofuatilia thread zangu hizi habari sio ngeni kwenu

AAaah soon unakua Celebrity wa Kibongo news..endeleza mwendo warumi
 
Kazi nzuri sasa hivi watakuja hakina Matola kudiss lakin usikate tamaa sababu kila jukwaa na habari zake wengine hawajui ilo sijui wanataka siasa umu
 
Last edited by a moderator:
Kazi nzuri sasa hivi watakuja hakina Matola kudiss lakin usikate tamaa sababu kila jukwaa na habari zake wengine hawajui ilo sijui wanataka siasa umu

Mkuu wewe na Warumi nawakubali sana kwenye hili jukwaa,big up sana wakuu.
 
Last edited by a moderator:
Hongera ndugu. Ila punguza kumponda Mond,mtu anakuwa suspicious na ww.
 
Kazi nyingne ni wito. Hongera mkuu. Na sisi wachangiaji tunaojazia nyama kwenye thread zako pia tunatakiwa kupewa shavu pia

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Ha hahhhahhha aiseeee basiiii sawaaaa hongeraaaaa
 
Kazi nyingne ni wito. Hongera mkuu. Na sisi wachangiaji tunaojazia nyama kwenye thread zako pia tunatakiwa kupewa shavu pia

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Umeonaa eee kina siee wachangamsha thread!!!
 
Back
Top Bottom