warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Duh kweli warumi noma , ila na nyie global muwe mnasema basi na source, mbona sisi tukichukua habari kwenu tunasema? Next time mtaje bhana, ila I feel Good kwa kweli kukuta habari niliyoiandika Mimi kuuza sura kwenye Gazeti namba moko la udaku, sio kawaida unajua? Kama unabisha anzisha thread yako kama itaandikwa popote, kuandika sio mchezo asikwambie mtu , mda mwingine uwa natumia akili za ziada kutengeneza habari ambayo najua itadumu vichwani mwa watu na kuongelewa sana, japokuwa wengi wanadhani mda wote na copy na Ku paste, besides napenda kuandika and soon mtasikia nimeajiriwa kwenye Gazeti la udaku, shukrani pia kwa wana Jamii forum wenzangu kwa support mnayonipa.
Bila nyie habari zangu zisingewafikia hadi wakina shigongo, najua watu wengi wanafuatilia thread zangu , mnanipa nguvu mno, yaani nipo tayar hata kusafiri ilimradi tu niwaletee kitu roho inapenda. Wengine wanaweza kuniona napoteza mda kufuatilia maisha ya watu , ila hawajui hii inaweza pia kunipatia kipato kizuri tu na maisha yakaendelea.
Back to the Topic, hizo habari kwenye gazeti apo ndizo habari ambazo nilizowahi kuziandikia thread humu siku mbili zilizopita na kuongelewa na watu wengi zaidi , Thanks Global for seeing my work na kuzi retype on your newspaper. I'm soooo crazy happy for this. Samahani kwa kujianzishia thread wadau, nilitaka Ku share na nyinyi hii habari ambayo kwangu ni nzuri. Kwa wanaofuatilia thread zangu hizi habari sio ngeni kwenu