THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

Hahahaha! HEART umeonae? Anawashwa mpaka raha ila habari ndiyo hiyo tuko kwenye operation safisha chit chat kama vipi wahamie uso kitabu lol!

Vipi, kwani siku hizi umekua msaidizi wa Po nini? Au ndo ushachukua hisa za Max? Acha mambo zako sweetlady, waache watu free kujadili wakitakacho, sio unachotaka wewe! Huezi nihamisha JF wewe, ameshindwa Le Mutuz itakua wewe?
Ha! Ha ha ha ha ha!!
 
Last edited by a moderator:

He he hehe! Habari ndio hiyo ndugu yangu... Lazima kusafisha chit chat.... Pamechafuka mpaka panakera! Weka uzi wa kitoto niupoteze ndio utajua kama mimi ni Paw au nimenunua hisa kwa Max Melo ! Najua inauma ila hakuna jinsi kwa hili itabidi tuvumiliane !
 
Last edited by a moderator:

Alafu
Catherine
katoka kuniambia eti unapenda sana mayuro hivi ni kweli?
 
umenifanya nikumbuke kuna mtu aliwahi kuomba jf academia na jf original kwa kigezo cha less seriousness, by the way binafsi hushangazwa na baadhi ya threads, imenifanya hata hamu ya kuwa hapa ipungue hivyo naingia kuangalia wakongwe na kuwasalimia then natoka, na tena ngoja niwatakie usiku mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…