Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chardams kuna haja gani basi ya kupost childish threads? Let us change it.
He kumbe una hati miliki mama!!!!!? thikujua
Afu Arushaone mbona hapo kama mnataka kumsema MzunguMndali na ile Post yake ya Ndoto?
Jamani Jamani Jamani,
Si mnakumbuka ya cacico? alipata BAN bila kutegemea kisa tu alipishana kiswahili na yeye?
Na wewe unaihitaji?
Ngoja nikuitie............
We MzunguMndali unaitwa hukuuuuuuuu...........!!!!!!!!!!!!!!!!
:fencing::fencing::fencing::fencing::fencing:
Arushaone na sweetlady mmeshindwa kutetea hoja zenu.natamani nielewe kinazungumzwa nini hapa lakini nang'aaa hsarubu tu hapa!yani na mods nao washaiweka sticky!sasa tukaponee wapo jamani!wengin CC ndo mpango mzima!sasa mkileta na mambo ya kuedit tena wakati mi nilitaka kuanzinsha thread yenye title @##$$$%%&&***(())))))))((*****(((
na post yake ikawa ^!&!*()!U!#&*&*!()_!_)!)@)!@_!@_! na wadau ningepata mradi tufurahi siku isogee!mwe! Arushaone na sweetlady wala sielewi maslahi yenu katika hili!MMETUMWAAAA?
:A S 114:MTUWAAAAACHE!
:A S 114:
Kisa cha kutuumiza macho!!??
Sijaamka, ndo natoka kazini, nimekabidhi lindo kumi na mbili kasoro
Mie naunga mkia . . .
Tajeni hizo thread za kitoto.
Karibuni jukwaa la dini tumwimbie Bwana zaburi
Ili busu mbona kama n mm limenipata.. Hapa najaribu kufuta rangi za lipsticky manake mmmh!!!
oooh, dada yangu upo? nakuja kuhesabiwa... tutafutanexmass
pal vipi? shwari?
mmmmh; nikupatie lako?