THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

Hahahaha ! Hivi kuna faida mtu akiwa maarufu jf? Afu mie ntakuwa nipo nyuma sana Nicas Mtei manake mpaka sasahivi ukiniambia nimtaje hata memba mmoja tu ambae ni maarufu jf tena chit chat simjui lol. Huwa naona wote tuko sawa !

wewe ni mmojaawapo kati ya walio maarufu humu... ukienda siasani utawakuta wengine maarufu mfano Ritz, Matola, Crashwise, LiverpoolFC, n.k
 
Last edited by a moderator:
Ok, sasa naanza kukuelewa. Kumbe sasa hayo si mambo ya kitoto ni mambo ya kipumbavu. Hakuna mtoto anayeweza kumzushia mtu kifo, ni mpumbavu tu ndio anaweza fanya hivyo.
HUO NI UPUMBAVU SIO UTOTO!!
Like ! Like !

Sasa vitu kama hivyo ndio vinaboa na kukera ! Vipo vingi ila ndio hivyo chit chat ni kijiwe kizuri cha kuondolea stress ila nahisi kimevamiwa na wavuta banghe na wanywa viroba manake ukiingia huku wakati mwingine badala ya kutabasamu unaishia kununa na kusonya!
 
Kha ha ha ha ha haaa!! Wakati fulani nimekuwa na wakati mgumu kulijua vema jukwaa hili la Chit-Chat maana nikiwaangalia na kusipitia post za member baadhi hakika unaweza ukajikuta katika dimbwi la mawazo! Nasema hivyo kwa sababu ya maneno member anayefikiri na kupoteza muda halafu eti unamkuta kasema R I P wana chit chat wote! Nikajiuliza heshima ya hili neno sasa tuliweke wapi? Na hapo ndipo nikajua labda tumeingiliwa na watoto wa kitabu cha uso FB na ndio wanawafanya member wakongwe wajichanganye! Angalizo kwangu ni moja kwa Mods maneno ambayo hayatupendezi jamii ondosha mara moja!

wewe ni mmojaawapo kati ya walio maarufu humu... ukienda siasani utawakuta wengine maarufu mfano Ritz, Matola, Crashwise, LiverpoolFC, n.k

Nicas Mtei Karibu jukwaa letu mkubwa tulumbane mafisadi wasio na huruma kwa Watanzania walio huru kwa zaidi ya miaka 51 mpaka hivi sasa! Pumzisha kwanza jukwaa hili la Chit-Chat!
 
Last edited by a moderator:
Kha ha ha ha ha haaa!! Wakati fulani nimekuwa na wakati mgumu kulijua vema jukwaa hili la Chit-Chat maana nikiwaangalia na kusipitia post za member baadhi hakika unaweza ukajikuta katika dimbwi la mawazo! Nasema hivyo kwa sababu ya maneno member anayefikiri na kupoteza muda halafu eti unamkuta kasema R I P wana chit chat wote! Nikajiuliza heshima ya hili neno sasa tuliweke wapi? Na hapo ndipo nikajua labda tumeingiliwa na watoto wa kitabu cha uso FB na ndio wanawafanya member wakongwe wajichanganye! Angalizo kwangu ni moja kwa Mods maneno ambayo hayatupendezi jamii ondosha mara moja!

Nicas Mtei Karibu jukwaa letu mkubwa tulumbane mafisadi wasio na huruma kwa Watanzania walio huru kwa zaidi ya miaka 51 mpaka hivi sasa! Pumzisha kwanza jukwaa hili la Chit-Chat!

kwenyeNyekundu mimi nipo mle mda wote..... hapiti dk 5 sija visit mle eti
 
Back
Top Bottom