THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

THREAD zenye MAMBO YA KITOTO ziachwe

ndetichia ni ukweli kabisa kuna member huku juzi kalala, kaamka na kuleta uzi hapa kuwa Madame B kafa! Ingawa uzi wenyewe ulifutwa, ukweli unabaki kuwa tunapoteza ubunifu.

Ah! Mi sijaingia humu ndani kwa muda sasa lakini ningebahatisha kumkuta mtu anayemzushia kifo my lovely Madame B angenikomaje mpuuzi huyo? Kama ana hamu sana ya kutabiri si amtabirie Po tuone!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom