Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Mh ngumu kutabiri
Maana yake ni . . . . (................... )
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh ngumu kutabiri
teh teh teh.. nilikuwa sijajua kama wewe ndio mzungumndali!!!
Tena wewe ndo unaongoza..Uache huo mtindoMimi? Kivipi?
Tena wewe ndo unaongoza..Uache huo mtindo
Hahahaaaa hilo umesema wewe Kipipi
Halafu we jishaue tu. Nimekununia
Umenuna tena?? Nini cha mno?? Ndio nadhibitisha maneno ya Mtambuzi... Wanaume wa kweli huwa hawanuni na sio kutumia dume ( samahani lakn ashakum si matusi)
Ahahaha.Sawa nimekubali...Wanaume wa kweli hutumia akili. Sawaa?
Ahahaha.Sawa nimekubali...
Funguka basi...mbona mie naona tupo pamoja sana... Si tulifikia muafaka kuhusiana na Mtambuzi?Ila nina bifu na wewe.
Dogo niaje?
Tatizo watu wa chit chat mmekuwa kama madogo wa facebook.. Mmezidi kupost upuuzi; mjirekebishe mnajaza ma'thread yasiyo na maana
Funguka basi...mbona mie naona tupo pamoja sana... Si tulifikia muafaka kuhusiana na Mtambuzi?
Salama dogo...mzima wewe??
Sawa ...I am swallowing all my words against you...lkn ngoja nikuswalike kidogo...wewe ni handsome???jibu ndiyo au hapana...muafaka gani sasa wakati bado unapiga madongo? sio poa hivyo
sawa ...i am swallowing all my words against you...lkn ngoja nikuswalike kidogo...wewe ni handsome???jibu ndiyo au hapana...
hapana
Basi sitakuponda tena(ile thread haikuhusu)...Na kwa kulipa nitakufagilia na ma-like kibao hata kama ukiongea pumba...
Nimesha-do the needfull...i am good in keeping my promiseshahahahahahaha. gonga like basi