Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Bado sijaona matokeo mkuuLimefanikiwa
Lazima tufuate sheria ,haiwezekan timu za hovyo zinakula airtime huko juu kujaza nafasi ,wakat timu kubwa zipo..Kuna wakati unagundua vijana wakikosa kazi za kufanya wanawaza ujinga halisi
Sio kwamba wanakuwa na akili kubwa ?!Kuna wakati unagundua vijana wakikosa kazi za kufanya wanawaza ujinga halisi
Lazima tufuate sheria ,haiwezekan timu za ovyo zinakula airtime huko juu kujaza nafasi ,wakat timu kubwa zipo..
Hata arsenal haina hadhi ya kukaa juu kuleYanga ilifaa iondolewe ni katimu kadogo sana
Mods wadau wanakubali ombi ,tafadhari ,itapendeza ombi langu likikubalika...So far, Naunga mkono hoja. Ahsante