Thread zinazopigwa pin juu

Thread zinazopigwa pin juu

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
14,361
Reaction score
21,680
Habari wakuu

Naandika huu uzi kama ombi kuhusu nyuzi zinazopigwa pin huko juu hasa hizi za timu.

Kwanini timu ndogo zinazocheza Europa zinapata airtime huko juu? Timu kama Arsenal, Yanga, Spurs hakuna haja ya kuzipiga pini huko juu. Huko juu ni kwa ajili ya UEFA, CAF na mashindano mengine makubwa.

Timu zinazocheza Europa tuwe tunazishusha chini huko juu ni kwa ajili ya timu zinazocheza Champions League.

Nitashukuru endapo ombi langu litafanyiwa kazi
 
Wakuu nahitaji kura zenu ,mods wanasema nikipata kura za ndio 1000,basi ombi langu linaenda kutekelezwa mapema ...
 
Back
Top Bottom