So far we know for sure Magufuli ndio Yuko huko Hell / KuzimuHuyo Lissu ni nani ktk nchi hii?
Mtu aliyetuonesha usaliti wa wazi wazi kuanzia kwenye mchakato wa katiba mpya, hadi uchaguzi 2015. Pia kwenye sheria mpya yamadini leo tukio lake lakutengeneza ndio unamsingizia Magufuli?
To hell with Lissu!
Magu alikuwa muongo sanaItoshe tu kusema ,NABII HAKUBALIKI KWAO,Ila cha moto tunakiona japo hatutaki kukiri,JPM hotuba zake zitawapa taabu sana wanafiki waliozoea kudanganya wananchi,maana watu wanazo wanajua mbivu na mbichi
Tatizo ni kwamba we uko so in love na mwendazake hta uambiwe nn! Husikii wala huoniUhusiano wa hayo yote na Magufuli uwekwe wazi na isiwe habar za kusadikika tu.
Kubenea aliomba msamaha kwa kujaribu kumdhuru mwana-ufipa mwenzake.
Si rahisi kupata chama chenye nguvu chini ya utawala wa ccm, hawataruhusu hilo.Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Vyama vya Bongo vya sasa karibia vyote ni magumashi tu. Na sijaitaja CHADEMA kwenye comment yangu. Ipo siku kitatokea chama chenye nguvu, hizo kejeli zenu zitakwisha.
Katili pia.
Hao kuku waliochomwa ni wa maabara. Mama yenu hana taarifa, viumbe wa Mungu wasingechomwa.
Hata wewe una mahaba na mwamba.Tatizo ni kwamba we uko so in love na mwendazake hta uambiwe nn! Husikii wala huoni
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Fantasy.So far we know for sure Magufuli ndio Yuko huko Hell / Kuzimu
Huo mwanga ni lini tuliwahi kuupitia.Ni aibu kwamba tumewahi kupitia nyakati za giza kama zile!
Ni mpumbavu pekee.. nothing moreAsiyeona uovu, ukatili, uuaji na ujambazi wa Magufuli atakuwa na matatizo ya akili
Akili zimekaa wapi?.
Chadema ndo wenye mitizamo hiyo kipumbavu na kijinga kuwaza visasi na Si vinginevyoBado mnaweweseka tu. Ombeni Mungu CCM iendelee kutawala milele. Vinginevyo siku chama kingine kikishika usukani, kuna watu watahama nchi bila kupenda kwa kuhofia maovu waliyotenda kufichuliwa na wao kushughulikiwa kisheria.
Nenda kwenye ripoti na siyo kwenye majibizano ya Ikulu, huo siyo utatatibu.Alipohoji si ilifikia wakati akaulizwa hela imeliwa ama haijaliwa mbona alisema hapana?
Kwanini amtangulize ikulu wakati anatekeleza kazi yakeNenda kwenye ripoti na siyo kwenye majibizano ya Ikulu, huo siyo utatatibu.
Kwanza kama Prof Assad angesema zimeliwa, Magufuli angemtanguliza kuzimu kama Ben Saanane
Siyo kumtanguliza Ikulu, bali kumtanguliza kuzimu. Ila Mungu muache aitwe Mungu. Kuzimu katangulia yeyeKwanini amtangulize ikulu wakati anatekeleza kazi yake
Ndo maana nikasema huna hoja.Nafahamu
... akili za nani? Huyo niliyem-quote ama?Akili zimekaa wapi?.
Kila nchi ina sheria zake, hebu kesho vuka mpaka wowote ukiwa umebeba bata bila makaratasi alafu njoo hapa utupe mrejesho.
Alafu jambo la pili wale wanaitwa vifaranga ndiyo ila siyo viumbe wa Mungu hasilani, Mungu hakuumba kuku anayekuwa kwa miezi mitatu NO!, Happ lazima tutofautishe man made and God created.
... giza linatofautiana!Huo mwanga ni lini tuliwahi kuupitia.
... kwamba wewe una taarifa za nchi hii kumzidi Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama ambaye every morning lazima apate briefing ya yaliyotokea nchini including wewe umeamkia au hujaamkia nyumbani asubuhi hiyo? Hao waliochomwa ni kuku wa kwanza kukatiza kwenye huo mpaka? Roho za kishetani tu zilipelekea ushenzi ule sio zaidi!Hao kuku waliochomwa ni wa maabara. Mama yenu hana taarifa, viumbe wa Mungu wasingechomwa.