Three East African states in US crosshairs over mitumba ban

Three East African states in US crosshairs over mitumba ban

Umenena ukweli, tatizo tayari tushaonekana ni shimo la takataka, kuanzia chemicals zao, vifaa vya tech, entertainents, nguo, viatu, chupi, brassieres, na hata vyakula vilivyo expire...
Nimependa pale ulipomuingiza Mchina, huyu bwana anawapagawisha sana Ulaya na Marekani, wanamuogopa kufa, Mchina anasambaza huduma zake kila sehemu hasa Dunia ya 3, tena kwa bei nzuri, kwa ubora..Kifupi kwa sasa narudia maneno ya JPM, kuna vita ya uchumi kali mno, Mchina, Ulaya na Marekani wote wanaigombania Dunia ya 3, wote wanataka kuendeleza nguvu zao kiuchumi na kimali, lazima nasi tujiulize tunataka nini kwao, lazima tuwe na msimamo na siyo kuwa kama kigori anayegombaniwa ni nani atamtoa bikira na kumfaidi..
Tusipojitambuwa tumwekwisha, tena na tena, lazima nasi kabla ya kuwapa mwili wetu lazima tuwape masharti, je wakubwa zetu wanalielewa hili?!

umenena vyema. China, Ulaya na marekani wana sera kuielekea au kushirikiana na Afrika. lkn swali ni je Afrika ina sera au mikakati ya makusudi ya pamoja kuelekea washirika hawa?? kama hamna inabidi kitu kifanyike. hatuwezi tukawa watu wa kupokea maagizo ya nini cha kufanya siku zote. lazima tuwe na dira na muelekeo, yeyote anayekuja kwetu lazima ajue sisi sera na muelekeo wetu ni nini!! siyo kuja kutuagiza.
 
umenena vyema. China, Ulaya na marekani wana sera kuielekea au kushirikiana na Afrika. lkn swali ni je Afrika ina sera au mikakati ya makusudi ya pamoja kuelekea washirika hawa?? kama hamna inabidi kitu kifanyike. hatuwezi tukawa watu wa kupokea maagizo ya nini cha kufanya siku zote. lazima tuwe na dira na muelekeo, yeyote anayekuja kwetu lazima ajue sisi sera na muelekeo wetu ni nini!! siyo kuja kutuagiza.
Tunakubali kabisa unayosema, hatuwezi kukubali kuendelea kuburuzwa na hawa jamaa miaka nenda miaka rudi, najuwa watatushia kuminya misaada na na mengineo, ila tukumbuke, kwenye maswala kibiashara, hawa jamaa BADO wanatuminya sana na bidhaa zetu, hawako tayari kuwakosesha biashara zao wakulima na wenye wiwanda vyao, tena wanatumia njia nyingi sana kwa hili, hawako tayari kukosa biashara kwa kuleta hiyo mitumba ya kila aina, wakijuwa kwanza wanapata pesa pili wamepata dampo la kutupa wasivyovihitaji, sisi tuko tayari kuendelea na biashara nawo ila iwe na faida kwa pande zote 2, najuwa raia wanalalamika kuhusu quality na price za bidhaa zitakazozalishwa nchini, hapo ndipo Dola zetu ziangalie, lakini kuendelea kuruhusu hayo matakataka yao tutazidi kuumia tu..
 
Effect ya kupandisha kodi mitumba imeshaanza kuonekana.
Sasa hivi dada zetu wana vaa nguo za mchina zilizotengenezwa chini ya kiwango (ofcourse cheap is expensive) ambazo wakivaa, wanatembea huku chupi inaonekana.
Mitumba ikipigwa marufuku the situation will be even worse, the dignity of an African woman will imeadiately dissapear kwa haya mavazi transparent ya mchina.
Reff huu uzi kujionea mavazi ya kichina...
Viazi hivi ni vya Mbeya au Njombe?
Akili za ni zako tuuuu...... si za mwingine

unasema kuvaa mitumba ndio itarudisha hadhi ya wanawake?
 
Back
Top Bottom