Mimi huwa sikurupuki kama wewe, na huwa sitoi maneno mengi kama mtunga mashairi, ndio maana sihangaiki kukujibu, majibu yenyewe yanajulikana mzee
Five years after the award; winners Maradona and Pelé
FIFA Player of the Century was a one-off award created by FIFA to decide the greatest football player of the 20th century. Diego Maradona and Pele were joint winners of the award.[1][2] Maradona won the award based on the Internet poll, while Pelé won the award based on votes from FIFA officials, journalists and coaches.[1][2],
first time zilipigwa kura kutoka kwa mashabiki duniani Maradona amepata kura nyingi mno zaidi ya pele,fifa wakapiga ya kwao wenyewe lakini usisahau kuwa hawakuwashirikisha tena mashabiki ambao walishapiga hapo awali na maradona akawa mshindi kihalali...fifa badala yake wakawaweka wote sawa huo ni mpango wao FIFA Same JECHA.
-Maradona alipata asilimia 53.6 ya kura alizopata kutoka kwa mashabiki
-Pele alipata asilimia 18.53 ya kura alizopata kutoka kwa mashabiki
Na dunia yote inamtambua Maradona ndie best more than pele to now, japo kacheza muda mfupi sana lkn kaonyesha mambo makubwa mno kwenye soka ambayo hayakufanywa na mchezaji yyte yule except King Leo10s,
Alaf nataka nikuambie kitu kingine..usipende kukariri makombe kijana, kuwa na makombe haikufanyi wewe uwe bora zaidi ya yule asiyekuwa na makombe,kwaiyo kama kigezo chako ni makombe basi hata akina muller,podoski,fabregas,silver Nk. wote ni mabest player kuwahi kutokea sindio? Ni hayo tu.