Elections 2015 THROW BACK: Bernard Membe alikuwa ni chaguo sahihi

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Nachelea kusema Bernard Membe ndiye alikuwa chaguo sahihi kuletewa watanzania, Kikwete aliona mbali, watanzania tulizoea na bado tumezoea kujifunza gradually, slow but sure..pole pole ndio mwendo wetu haya ya sasa ni mateso tuu bila chuki, unatekenywa upande huu, kabla hata ya kucheka ushafinywa upande mwingine.

kwanini ninasema Bernard Membe ndiye alikuwa chaguo sahihi?

1. Bernard Membe alishafanya kazi kama mchambuzi usalama wa taifa (kachero) katika ofisi ya raisi (ikulu) kwa kipindi kirefu hivyo ninaweza kusema anaujua usalama wetu katika nyanja zote kuliko hawa wengine.

2. Ni msomi mzuri wa mahusiano ya kimataifa, ukiachana na usomi wake ni mtendaji mzuri katika eneo hili, ujuzi na umahiri unambeba, siyo tuu kimataifa ila hata masuala yetu ya ndani ya nchi. Alishawahi kuwa wizara ya mambo ya ndani, na wizara ya mambo ya nje. kila kitu kilikuwa sawa kabisa na misimamo yake katika masuala ya nchi huwa ni mikali hana mchezo...

3. Ni mtu ambaye anaipenda na kuheshimu demokrasia, mwaka 2008 alijishindia medal iyotokana na operation democracy in comoro. (Hili watanzania tulijisifia na kulipa sifa zote jeshi letu, chini ya waziri wa kipindi hicho Bernard Membe)

4. Ni mtu anaependelea diplomasia

5. Ni zao la mfumo, mfumo ambao ulikuwa unatupeleka taratibu lakini kwa uhakika, siyo wa kukurupuka

hizi ni sababu zangu unaweza kuongezea zako na hata kukosoa, Sipo CCM na ni pro-cdm
 
3. Ni mtu ambaye anaipenda na kuheshimu demokrasia, mwaka 2008 alijishindia medal iyotokana na operation democracy in comoro. (Hili watanzania tulijisifia na kulipa fifa zote jeshi letu, chini ya waziri wa kipindi hicho Bernard Membe)

Tuna ambiwa uchaguzi umeisha usije ukaambiwa mchochezi
 
Kwa hiyo tufanyeje sasa! turudie uchaguzi au? kwanza we ni ccm damu unataka tu kuichafua CHADEMA.
 
Of coz kama ni comparison contest between Magu na Ben, the latter is better.
Lakini kama ni suala la nchi, opposition were the best. I do not mean Edo. I mean opposition as an entity were the best choice.
 
hata mimi nawazaga kwa mbali naona huyu hakustahili bali alibebwa tu na changamoto ya woga wa ccm kushindwa. Wakaamua kutumia alichosema makamba 'mzigo mzito mpe mnyamwezi/msukuma' Huyu sidhani kama atamudu, ndio maana amekimbilia polisi.
 
Nachelea kusema Bernard Membe ndiye alikuwa chaguo sahihi kuletewa watanzania, Kikwete aliona mbali, watanzania tulizoea na bado tumezoea kujifunza gradually, slow but sure..pole pole ndio mwendo wetu haya ya sasa ni mateso tuu bila chuki, unatekenywa upande huu, kabla hata ya kucheka ushafinywa upande mwingine.

kwanini ninasema Bernard Membe ndiye alikuwa chaguo sahihi?

1. Bernard Membe alishafanya kazi kama mchambuzi usalama wa taifa (kachero) katika ofisi ya raisi (ikulu) kwa kipindi kirefu hivyo ninaweza kusema anaujua usalama wetu katika nyanja zote kuliko hawa wengine.

2. Ni msomi mzuri wa mahusiano ya kimataifa, ukiachana na usomi wake ni mtendaji mzuri katika eneo hili, ujuzi na umahiri unambeba, siyo tuu kimataifa ila hata masuala yetu ya ndani ya nchi. Alishawahi kuwa wizara ya mambo ya ndani, na wizara ya mambo ya nje. kila kitu kilikuwa sawa kabisa na misimamo yake katika masuala ya nchi huwa ni mikali hana mchezo...

3. Ni mtu ambaye anaipenda na kuheshimu demokrasia, mwaka 2008 alijishindia medal iyotokana na operation democracy in comoro. (Hili watanzania tulijisifia na kulipa fifa zote jeshi letu, chini ya waziri wa kipindi hicho Bernard Membe)

4. Ni mtu anaependelea diplomasia

5. Ni zao la mfumo, mfumo ambao ulikuwa unatupeleka taratibu lakini kwa uhakika, siyo wa kukurupuka

hizi ni sababu zangu unaweza kuongezea zako na hata kukosoa, Sipo CCM na ni pro-cdm
Uwiiii, simpendi Magu, wala sikubaliani naye kwa mambo mengi, mara mia magu,kuliko hicho kituko.
 
Huenda nilikuwa sahihi kumuamini Lowassa kuliko wagombea wote na ama nilipotoka kumuamini Lowassa kwa ukimya wake. Aisee kwa mnaoishi Dar huwezi fahamu ugumu wa maisha yaliyoko huku vijijini. Wito wangu kwa vijana hasa wa kiume msijaribu kuoa hadi 2025 tofauti na hivyo msije mnalia hapa JF
 
Hapana.... Angekua chaguo bovu kuwahi kutokea
 
Uwiiii, simpendi Magu, wala sikubaliani naye kwa mambo mengi, mara mia magu,kuliko hicho kituko.

Isije kuwa ni sababu ya Lowassa kukatwa, hizo ni politics tuu
 
Mtoto akikunyea mkono hupaswi kuukata ni kutafuta sabuni tuu.
 
Nachelea kusema Bernard Membe ndiye alikuwa chaguo sahihi kuletewa watanzania, Kikwete aliona mbali, watanzania tulizoea na bado tumezoea kujifunza gradually, slow but sure..pole pole ndio mwendo wetu haya ya sasa ni mateso tuu bila chuki, unatekenywa upande huu, kabla hata ya kucheka ushafinywa upande mwingine.

kwanini ninasema Bernard Membe ndiye alikuwa chaguo sahihi?

1. Bernard Membe alishafanya kazi kama mchambuzi usalama wa taifa (kachero) katika ofisi ya raisi (ikulu) kwa kipindi kirefu hivyo ninaweza kusema anaujua usalama wetu katika nyanja zote kuliko hawa wengine.

2. Ni msomi mzuri wa mahusiano ya kimataifa, ukiachana na usomi wake ni mtendaji mzuri katika eneo hili, ujuzi na umahiri unambeba, siyo tuu kimataifa ila hata masuala yetu ya ndani ya nchi. Alishawahi kuwa wizara ya mambo ya ndani, na wizara ya mambo ya nje. kila kitu kilikuwa sawa kabisa na misimamo yake katika masuala ya nchi huwa ni mikali hana mchezo...

3. Ni mtu ambaye anaipenda na kuheshimu demokrasia, mwaka 2008 alijishindia medal iyotokana na operation democracy in comoro. (Hili watanzania tulijisifia na kulipa sifa zote jeshi letu, chini ya waziri wa kipindi hicho Bernard Membe)

4. Ni mtu anaependelea diplomasia

5. Ni zao la mfumo, mfumo ambao ulikuwa unatupeleka taratibu lakini kwa uhakika, siyo wa kukurupuka

hizi ni sababu zangu unaweza kuongezea zako na hata kukosoa, Sipo CCM na ni pro-cdm
Halafu ikawaje? Acha Mungu aendelee kuitwa Mungu maana ametuepusha na majanga. Membe apumzike alipo...by the way hajamkosea mtu chochote ila sio lazima atuongoze wote.
 
Back
Top Bottom