Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good!!!Sahihi kwako, sisi tuna Magufuli wetu na mwendo wa mjerumani...
Vigezo vyote ulivyovitaja viko outdated,inshort havi apply,kwa hali ambayo huyo nchi ilivyokuwa kabla ya utawala huu,sema ya kwamba ule mrija wako wa maziwa ya mgando kwa sasa umezibwa ndio maana unaturudisha nyuma.Nachelea kusema Bernard Membe ndiye alikuwa chaguo sahihi kuletewa watanzania, Kikwete aliona mbali, watanzania tulizoea na bado tumezoea kujifunza gradually, slow but sure..pole pole ndio mwendo wetu haya ya sasa ni mateso tuu bila chuki, unatekenywa upande huu, kabla hata ya kucheka ushafinywa upande mwingine.
kwanini ninasema Bernard Membe ndiye alikuwa chaguo sahihi?
1. Bernard Membe alishafanya kazi kama mchambuzi usalama wa taifa (kachero) katika ofisi ya raisi (ikulu) kwa kipindi kirefu hivyo ninaweza kusema anaujua usalama wetu katika nyanja zote kuliko hawa wengine.
2. Ni msomi mzuri wa mahusiano ya kimataifa, ukiachana na usomi wake ni mtendaji mzuri katika eneo hili, ujuzi na umahiri unambeba, siyo tuu kimataifa ila hata masuala yetu ya ndani ya nchi. Alishawahi kuwa wizara ya mambo ya ndani, na wizara ya mambo ya nje. kila kitu kilikuwa sawa kabisa na misimamo yake katika masuala ya nchi huwa ni mikali hana mchezo...
3. Ni mtu ambaye anaipenda na kuheshimu demokrasia, mwaka 2008 alijishindia medal iyotokana na operation democracy in comoro. (Hili watanzania tulijisifia na kulipa sifa zote jeshi letu, chini ya waziri wa kipindi hicho Bernard Membe)
4. Ni mtu anaependelea diplomasia
5. Ni zao la mfumo, mfumo ambao ulikuwa unatupeleka taratibu lakini kwa uhakika, siyo wa kukurupuka
hizi ni sababu zangu unaweza kuongezea zako na hata kukosoa, Sipo CCM na ni pro-cdm
Nachelea kusema Bernard Membe ndiye alikuwa chaguo sahihi kuletewa watanzania, Kikwete aliona mbali, watanzania tulizoea na bado tumezoea kujifunza gradually, slow but sure..pole pole ndio mwendo wetu haya ya sasa ni mateso tuu bila chuki, unatekenywa upande huu, kabla hata ya kucheka ushafinywa upande mwingine.
kwanini ninasema Bernard Membe ndiye alikuwa chaguo sahihi?
1. Bernard Membe alishafanya kazi kama mchambuzi usalama wa taifa (kachero) katika ofisi ya raisi (ikulu) kwa kipindi kirefu hivyo ninaweza kusema anaujua usalama wetu katika nyanja zote kuliko hawa wengine.
2. Ni msomi mzuri wa mahusiano ya kimataifa, ukiachana na usomi wake ni mtendaji mzuri katika eneo hili, ujuzi na umahiri unambeba, siyo tuu kimataifa ila hata masuala yetu ya ndani ya nchi. Alishawahi kuwa wizara ya mambo ya ndani, na wizara ya mambo ya nje. kila kitu kilikuwa sawa kabisa na misimamo yake katika masuala ya nchi huwa ni mikali hana mchezo...
3. Ni mtu ambaye anaipenda na kuheshimu demokrasia, mwaka 2008 alijishindia medal iyotokana na operation democracy in comoro. (Hili watanzania tulijisifia na kulipa sifa zote jeshi letu, chini ya waziri wa kipindi hicho Bernard Membe)
4. Ni mtu anaependelea diplomasia
5. Ni zao la mfumo, mfumo ambao ulikuwa unatupeleka taratibu lakini kwa uhakika, siyo wa kukurupuka
hizi ni sababu zangu unaweza kuongezea zako na hata kukosoa, Sipo CCM na ni pro-cdm
Kama LowasaCCM hapatotokea mgombea sahihi,au mtu aliekulia ccm hatokuja kuwa mgombea sahihi kupitia chama chochote kile.
Ukitaka khchagua au kuchambua uongozi lazima utambue kuwa hakuna mwanasiasa ambaye sio mnafiki iwe CCM CUF au CHADEMA. Angalia hata nchi zilizoendelea skendo zipo Viongozi wa uingereza walilipwa mamilioni ya paundi na wafanyabiashafa kuisupport Brexit baada ya uingereza kujitoa wakastaafu siasa usalama wa nchi uwe kitu cha kwanza. CCM hata wafanye vipi wanaipa kipaumbele usalama wa nchi yetu hawa wengine wote sijaona anaelipa hili suala kipaumbele.CCM hapatotokea mgombea sahihi,au mtu aliekulia ccm hatokuja kuwa mgombea sahihi kupitia chama chochote kile.
Under whom as the presidential candidate??Of coz kama ni comparison contest between Magu na Ben, the latter is better.
Lakini kama ni suala la nchi, opposition were the best. I do not mean Edo. I mean opposition as an entity were the best choice.
Mkuu hapo umepiga kote kote,maana hata ukawa mgombea wao alikuwa zao la ccm,hapo ndipo ninapoona siasa za kibongo ovyo tuCCM hapatotokea mgombea sahihi,au mtu aliekulia ccm hatokuja kuwa mgombea sahihi kupitia chama chochote kile.