Elections 2015 THROW BACK: Bernard Membe alikuwa ni chaguo sahihi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha msingi wazo la kuoa na kuanza familia lisogezwe mbele hadi 2025..,
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii nchi ya ajabu sana,mpaka huu mwaka ukatike mtasema yoote ya moyoni. Ni kweli mtoa mada upo sahihi ila kwa Tanzania yetu ilipokafikia ilibidi tumpate Magufuli kwanza ili atunyooshee nchi. Wagombea wote wa ccm wako vizuri na ccm ina rasilimali watu wa kutosha tuliizoea sana serikali mpaka ikawa inashindwa kufanya kazi yake sasa tunarudisha kwanza maadili alafu mengine baadae.
Mimi maoni yangu kwa Magufuli ashikilie hapahapa kwanza masuala mengine yatakuja baada ya nchi kutengaa ki nidhamu ndio tutawahitaji watu kama Membe,January,Muhongo,Zitto,Makonda,Mwigulu,Tulia,H.Mwinyi,Kigangwala,Majaliwa,Ridhwani kikwete[emoji4] na wengine kuja kumalizia Magu alipoacha.

Wito wangu kwa Watanzania wenzangu tumuunge mkono Rais wetu na serikali yake na tuuache afanye kazi tuliyomtuma. Membe yupo tunazidi kumfunda na yeye ili aje kuwa Tunu na yeye kwa taifa ili na vizazi vijavyo.
 
Yaani bura wangeweka yeyote hata jiwe ila sio EL
 
Mm kwangu yote sahihi tuu ila mzee anatupeleka mpela mpela sana cjui kwann uyu jamaa ila ataelewa next time
 
Vigezo vyote ulivyovitaja viko outdated,inshort havi apply,kwa hali ambayo huyo nchi ilivyokuwa kabla ya utawala huu,sema ya kwamba ule mrija wako wa maziwa ya mgando kwa sasa umezibwa ndio maana unaturudisha nyuma.
 
LOWASSA ndiye aliepaswa kuwa Rais wa watanzania sasa, ndio maana tulimchagua!
 


Pole sana ndiyo maisha hayo kwa bahati mbaya au nzuri Fizikia haijaturuhusu bado kurudi nyuma labda ungeweza kurekebisha, hivyo inabidi tu uishi na Pombe Magufuli (PhD), kama hauwezi basi kunywa sumu!
 
Hakuna nchi ya kupewa wakwepa kodi Chadema.

Hiki kizazi chenu kishindwe na kilegee
 
Sijaelewa kitu... kwani kampeni zimeaanza tena? watu kwa kuchukua style za Edo Kimya kimya huku unasemewa na watu... Fanyeni kazi mlipe kodi
 
Wengi waliomba wasichokijua. Vumilieni tu.
 
CCM hapatotokea mgombea sahihi,au mtu aliekulia ccm hatokuja kuwa mgombea sahihi kupitia chama chochote kile.
Ukitaka khchagua au kuchambua uongozi lazima utambue kuwa hakuna mwanasiasa ambaye sio mnafiki iwe CCM CUF au CHADEMA. Angalia hata nchi zilizoendelea skendo zipo Viongozi wa uingereza walilipwa mamilioni ya paundi na wafanyabiashafa kuisupport Brexit baada ya uingereza kujitoa wakastaafu siasa usalama wa nchi uwe kitu cha kwanza. CCM hata wafanye vipi wanaipa kipaumbele usalama wa nchi yetu hawa wengine wote sijaona anaelipa hili suala kipaumbele.
 
Hakuna politicians ambaye ni chaguo la mungu viongozi wa dini tusiwe wanafki.
 
Of coz kama ni comparison contest between Magu na Ben, the latter is better.
Lakini kama ni suala la nchi, opposition were the best. I do not mean Edo. I mean opposition as an entity were the best choice.
Under whom as the presidential candidate??
 
CCM hapatotokea mgombea sahihi,au mtu aliekulia ccm hatokuja kuwa mgombea sahihi kupitia chama chochote kile.
Mkuu hapo umepiga kote kote,maana hata ukawa mgombea wao alikuwa zao la ccm,hapo ndipo ninapoona siasa za kibongo ovyo tu
 
Benard membe?? Una akili sawasawa? Hamjui kuwa hata wanaccm wenyewe walikuwa wamechoshwa na uongozi wa mh. Jk? Je, membe alikuwa na ujasiri wowote wa kupinga uozo serikalini?
Yawezekana 2015 na kurudi nyuma imekuwa zamani sana hasa kwa short sighted mind kama ya mleta maada ambapo anaona sasa kila alilotaka kulifanya jk lilikuwa jema. Nakumbuka msimamo wa mh. Jk kwenye katiba alivyotukanwa na ukawa, leo hii mnamsifu na kupongeza kila alilolipendekeza, ni dhahiri hata msimamo wake wa katiba juu ya serikali mbili kwenye muungano ulikuwa sahihi kuliko ule wa warioba na tume yake.
Now jk seems to a shining pearl. fck ukawwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…