Elections 2015 THROW BACK: Bernard Membe alikuwa ni chaguo sahihi

Nina muda sasa sijaona uzi wa kumpa sifa dikteta uchwara,na ukija uzi huo utakuwa wa lizaboni na utapondwa kila kona na kila mchangiaji,WAPI KAKOSEA MSUKUMA?
KWANI KUTUMIA NGUVU IKULU BADALA YA AKILI NI DHAMBI? SAMIA SULUHU NJIANI KUJIUZULU WHY?
 

Ni kweli na aliandaliwa hivyo. Lakini siasa zandani za makundi ndio ximetugharimu watanzania.
 
Kusema ukweli ngosha kawashika pabaya mafisadi,bado hata mwaka haujaisha,huu mwendo ukiendelea kwa miaka mitano tutapiga hatua kubwa sana.
 
Mkuu hapo umepiga kote kote,maana hata ukawa mgombea wao alikuwa zao la ccm,hapo ndipo ninapoona siasa za kibongo ovyo tu
Mkuu bogo hakuna wanasiasa wenye lengo la kuondoa umasikini bali wapo kulaghai wadaganyika ili wanufaishe matumbo yao.
 
Well said.

Ila its not too late.

2020 is just near bay.

Come on Member the president
 
Mi nahisi lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…