THROWBACK: Demu wangu - Mchizi Mox ft Ngwair nani alipiga verses kali?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Throwback hii hapa kwaju wa demu wangu wa Mchizi Mox ft Ngwair nani alipiga verses kali na aliflow kinyamwezi

For me naenda na mwanangu Ngwair aliumiza sana humu ndani hasa kile kipande cha "niguse niku chanechane na viwembe" nakikubali sana.

Wewe kwako nani aliumiza humu ndani?

Throwback hii hapa kwaju wa demu wangu wa Mchizi mox ft Ngwair nani alipiga verses kali na aliflow kinyamwezi

For me naenda na mwanangu Ngwair aliumiza sana humu ndani hasa kile kipande cha "niguse niku chanechane na viwembe" nakikubali sana.

Wewe kwako nani aliumiza humu ndani ?
View attachment 2899641
Anaejua muziki aniambie akisikia hii beat anaskia original beat ya wimbo gani?

Jamaa alikuwa anakopi kila kitu beat za nje kama alivyochukua zima zima jina la master jay kutoka kwa member wa dmc...sema sababu hakukuwa na technology na exposure ya muziki ilikuwa ndogo watu hawakusanuka
 
Sasa hapo kuna cha kushindanisha kweli? Sina hata haja ya kutoa maoni sababu ikweli upo uchi sana.
 
Anaejua muziki aniambie akisikia hii beat anaskia original beat ya wimbo gani?

Jamaa alikuwa anakopi kila kitu beat za nje kama alivyochukua zima zima jina la master jay kutoka kwa member wa dmc...sema sababu hakukuwa na technology na exposure ya muziki ilikuwa ndogo watu hawakusanuka
una chuki sana na MJ
unataka fananisha MJ na hao beat makers wako takataka walamba lips wanaofanya mastering kwake ?
 
Msiojua music ndio atawashika maskio na hizo beat za za kusampo zinalia kama videbe.
 
Back
Top Bottom