dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Yeye alifanya innovation ya mdundo upi? Nipe na mfano
yule mpuuzi wako wakutegemea electronic beats hawezinyonga keyboard kama hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye alifanya innovation ya mdundo upi? Nipe na mfano
Huwezi jibu ilo swali unakimbia, yote ni sababu ya kufata mkumbo huujui muziki😃 😃 😃 umri wako tafadhali
Hivyo vinanda kapiga allan mapigo huo ni muziki wa zouk, basi ulivyo punguwan unajua zouk ni innovation ya master jay 😅😅View attachment 2902559
yule mpuuzi wako wakutegemea electronic beats hawezinyonga keyboard kama hiyo
uko chaka, wimbo wa Q-Chief feat. Jay Dee, producer ni MJ na studio ni MJHivyo vinanda kapiga allan mapigo huo ni muziki wa zouk, basi ulivyo punguwan unajua zouk ni innovation ya master jay 😅😅
Naujua huo wimbo ndio nikakwambia kinanda kapiga allan mapigo, kwa hiyo master jay ndio muanzislishi wa midundo ya zouk? Hujui lolote unafata mkumbouko chaka, wimbo wa Q-Chief feat. Jay Dee, producer ni MJ na studio ni MJ
Ndiyo maana nikauliza umri wako, beat maker wako uchwara yule hagusi level hizo, akomae tu na electronic music
usiwe mbishi, kinanda na beat alipiga Master J, Allan hakuwahi pita MJ, Comorien ndiye aliyepita paleNaujua huo wimbo ndio nikakwambia kinanda kapiga allan mapigo, kwa hiyo master jay
Huo ni muziki wa zouk au umechanganywa na tempo? Wewe punguwan kinanda studio anaitwa mtu anapiga anasepa masta jae lini alijua kupiga kinandausiwe mbishi, kinanda na beat alipiga Master J, Allan hakuwahi pita MJ, Comorien ndiye aliyepita pale
na hiyo siyo Zouk, ni Bongo Flavor, mtoto wa gen-z wewe, mziki bado sana