Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
ππila Ngwair alikua anamfanya Hadi Mchizi anataka kurusha ngumi...
Alikuwa mnyamaSijaona bado collabo yoyote ambayo Ngwair(RIP) alifunikwa
Ngwair hatariTattoo, tattoo kitu gani unaweza ukamchora na bado usione ndani
Anaejua muziki aniambie akisikia hii beat anaskia original beat ya wimbo gani?Throwback hii hapa kwaju wa demu wangu wa Mchizi mox ft Ngwair nani alipiga verses kali na aliflow kinyamwezi
For me naenda na mwanangu Ngwair aliumiza sana humu ndani hasa kile kipande cha "niguse niku chanechane na viwembe" nakikubali sana.
Wewe kwako nani aliumiza humu ndani ?
View attachment 2899641
Sasa hapo kuna cha kushindanisha kweli? Sina hata haja ya kutoa maoni sababu ikweli upo uchi sana.Throwback hii hapa kwaju wa demu wangu wa Mchizi mox ft Ngwair nani alipiga verses kali na aliflow kinyamwezi
For me naenda na mwanangu Ngwair aliumiza sana humu ndani hasa kile kipande cha "niguse niku chanechane na viwembe" nakikubali sana.
Wewe kwako nani aliumiza humu ndani ?
View attachment 2899641
una chuki sana na MJAnaejua muziki aniambie akisikia hii beat anaskia original beat ya wimbo gani?
Jamaa alikuwa anakopi kila kitu beat za nje kama alivyochukua zima zima jina la master jay kutoka kwa member wa dmc...sema sababu hakukuwa na technology na exposure ya muziki ilikuwa ndogo watu hawakusanuka
Da hatari na anachana sasa kama hataki hivi [emoji16][emoji38][emoji38][emoji38] nilikuwa nakubali sana Ngwair anavyoanza na hii punch
Msiojua music ndio atawashika maskio na hizo beat za za kusampo zinalia kama videbe.una chuki sana na MJ
unataka fananisha MJ na hao beat makers wako takataka walamba lips wanaofanya mastering kwake ?
siyo sawa na hizo beats zenu za Amapiano ambazo ZOTE zinafanana, hujui nani kamkopi naniMsiojua music ndio atawashika maskio na hizo beat za za kusampo zinalia kama videbe.
Yeye alifanya innovation ya mdundo upi? Nipe na mfanosiyo sawa na hizo beats zenu za Amapiano ambazo ZOTE zinafanana, hujui nani kamkopi nani
π π π umri wako tafadhaliYeye alifanya innovation ya mdundo upi? Nipe na mfano