Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mwaliko upo au ni kama kule ikungu la bashashi tunajisogeza tu baadae. Kwa bata hauna mpinzani.
RRONDO yuko sahihi, likija suala la kutumbua raha, unalipa uzito unaostahili. Hata hivyo tunaishi sasa, kufurahia maisha muhimu.
Hapo huwezi tu kujisogeza aisee. Kuna geti, kuna mbwa, kuna ulinzi pia! Wahitaji mwenyeji hapo!
View attachment 728706
Hivi Sam, huu usemi wako unausema zaidi ya mara mbili sasa nakusikia. Uko sirias kweli niufanyue kazi au ni masikhara?
Huwez kutumia ndumba kuielewa lugha ya kigen?Wengine hatujui kingereza pooh
Mkiongea kingereza hasala kwa nan?
Hapo kutakuwa na femme za ukweli, huo mkwara tu
Masikhara na wewe yameanza lini Kasie? Ntakusubiria tu ukishamaliza harakati zoooote, tutulie tufurahie maisha.
Nikutakie weekiend na Pasaka njema.
Asante sana Pasaka njema kwako pia.
Basi kuanzia sasa wacha niuafanyie kazi usemi wako.
Im a big brother...just watching u
Huyu anahakikisha tu kuwa dada mtu yupo kwenye mikono salama. Hawezi kutudhuru.
Nashukuru sana, Pasaka hii najua uko na yule mtu wako mie sitii neno. Ndio maana nikasema ukishamaliza mambo yooote, njoo tutulie wote.