Throwback Thursday...

Throwback Thursday...

Holla

Ikiwa ni wimbo kama wimbo it's old is gold. But if its content ...... ... is she the one you've been riding miles playing Craig David nonstop?

Happy Easter Holiday.
Jeez Kasie...umenifanya nicheke kama mwehu.....umepiga pale pale! Oh i wish i could turn back the hands of time!
 
Jeez Kasie...umenifanya nicheke kama mwehu.....umepiga pale pale! Oh i wish i could turn back the hands of time!

Kasie muhenga, busara zimejaa tele. Ila kila siku namwambia akimaliza kuranda randa koooote mie nnamsubiria tumalizie uzee pamoja.
 
Mkubwa nilikuomba movie kaka, hii long weekend ingekuwa maridadi. The Sentinel na Match Point.

Nikutakie maadhimisho mema ya Pasaka kiongozi.
Hizo sina kamanda....weekend hii naanza na Bourne Sequel...Tears of the Sun....Black Hawk Down...The Kingdom....International....Oceans 11,12.......Yaani narudia kabati zima!
 
Hivi hilo chimbo bado lipo?

Kuna chimbo jingine lilikuwa linaitwa Igongwe....siku hizi halipo tena. Ila enzi hizo lilibamba sana!!
Wewe jamana bhana ndio maana kuna watu wanasema uko hapa tunakula wote vumbi! Kuna vijiwe unavijua hata sisi wala vumbi hatuvijui!
 
Hizo sina kamanda....weekend hii naanza na Bourne Sequel...Tears of the Sun....Black Hawk Down...The Kingdom....International....Oceans 11,12.......Yaani narudia kabati zima!

Hapo ndio huwa watu wananikosa mtaani nikishajifungia kutazama movie, zamani nikiulizwa hobby yangu kitu gani nilikua najing'atang'ata lakini sasa hivi kabla muulizaji hajamalizia sentensi ya mwisho, natamka MOVIE.

Nna mpango wa kurudia Series ya Homeland na In The Interest Of The National ( Hamiliton), bila kumsahau Largo Winch.
 
Ila nikilewa aiseee utanishikilia kwenye mwendokasi hizooo au nije na kingalangala changu
Uber ndio habari ya mjini, usihangaike ukaishia na drink driving charge, wacha tugawane ridhiki tuwape vijana wa Uber
 
Back
Top Bottom