Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oky sawa sasa tunaenda wapi ukanipe k vant na tonic baridiiWeekend ndefu imeanza....
Mambo yangu poa shem darling. Nimekumiss pia huku.Mambo yako shem Darling nmekumis mnooo
Mambo ya mwisho wa mweziSalary? Ndio nini?
Hivi Wine yangu ishachachuka au bado?Unanitega?
Maana yake ni cool[emoji41]Hivi hio emoj maana yake nini?
Hebu Fanya logistic ya ten percentMwisho wa mwezi umekuja na long weekend...
Weekend inaanzia kwa wapi tena maana hii weekend ya kula old skul unashushia na Kinywaji Pasaka tunawaachia watotoMambo yangu poa shem darling. Nimekumiss pia huku.
Unapeleka kwa Nabii wako.Aisee...hivi ten percent si tunapeleka kanisani?
Kanisani tuu karibu kanisani kwetu[emoji1]Tunaenda wapi?
Najua...Wine ikikaa sana ndio inaongezeka ubora....hujasikia msemo 'fine as 100yrs old wine'
Hata sijaelewa. Namwambia rafiki angu twende Sinza anasema eti atatapika [emoji23][emoji23]Weekend inaanzia kwa wapi tena maana hii weekend ya kula old skul unashushia na Kinywaji Pasaka tunawaachia watoto