Throwback Thursday.....

Throwback Thursday.....



Moja ya nyimbo naipenda sana sana siku zote.... Ni moja ya nyimbo yenye kumbukumbu nyingi sana katika maisha yangu
 
Shits happens in love... But we fall and rise again... Nilishaumizwa sana na album ya mario winans hurt no more ilikuja kipindi nahitaji tulizo la moyo hususani hiyo nyimbo yake i don't wanna know
 
Back
Top Bottom