Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mie sijuiNdio uniambie
Sijawa sugu sijapata wa kumpenda kiasi cha kumlilia. Nikogo weak sana kwenye mapenzi. Napendaga na moyo ubongo maini mpaka kuchaSasa hivi ushakuwa sugu...
Sasa hivi atakaeniliza namshtakia kwa kina bibi Tanga..Ngoja nije nikukoleze halafu nikulize
Huyo mkaka alikua ni hatari sana
Nikisikia huo wimbo namkumbuka mkaka mmoja hivi tukiwa nae lazima aniwekee huo wimbo..
Halafu dr. Unaanzaje kumkimbia mgonjwa una kesi ya kujibu
I was very young, sikua naelewa the meaning ila niliupenda sana huu wimbo untill now.
Lol, nilikua nakuandalia dawa yako... weekend nitakucheki usijali mgonjwa.Halafu dr. Unaanzaje kumkimbia mgonjwa una kesi ya kujibu
dahhhh mpaka weekend mgonjwa mimi nitakua nimeshapoteza matumainiLol, nilikua nakuandalia dawa yako... weekend nitakucheki usijali mgonjwa.
Muda wangu ndio unaniambia hivyo hakuna jinsi.Mpaka weekend nitakua nimeshapoteza matumaini
Ilikua inakufariji sana
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]Muda wangu ndio unaniambia hivyo hakuna jinsi.
Alikua balaa. Yani aliniFanya nimpende sanaHuyo mkaka alikua ni hatari sana