Thumbs-Up kwa Designer nguo za Rais Samia Suluhu Hassan

Huyo ndio mwanamke, sio mwanamke chupi unavaa wiki, sidilia hufui miezi, yaani madera na vijora vichafuuuuuuuu
 
Wasukuma mmebakia kuchunguza mama kavaa nini,, mtaweuka inakoendea mazuzu nyie
 
Ba
Baba wa Taifa
 
Hivi kweli SSH mnamuita mama yenu kwa kumpenda au kujipendekeza? Mbona hatukusikia marais waliopita mkiwaita baba zenu?
Baada ya Hayati Mwl. Nyerere Baba wa Taifa, waliofuata wote walikuwa brothers, ila tu hawakupenda hilo jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…