TI kutua Dar kwenye Serengeti Fiesta

TI kutua Dar kwenye Serengeti Fiesta

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Msanii kutoka Marekani T.I ametangazwa leo kuwa. ndie msanii atakae burudisha kwenye serengeti fiesta itakayofanyika Dar
 
Msanii kutoka Marekani T.I ametangazwa leo kuwa. ndie msanii atakae burudisha kwenye serengeti fiesta itakayofanyika Dar

Duh, ni kweli? Maana leo sijakuwa karibu na radio kabisa. Namkubali sana huyu jamaa T.I vs T.I.P, Paper Trial, etc.
 
kwanini hawaji wasanii walio kwenye kiki eg wiz khalifa,tyga,chrisbrown; wanakuja wazee..

ila sio kes, No Mediocore
 
Siku nyingi sijasikia ngoma za T.I, sasa hivi jicho litakuwa Clouds TV, sikio Clouds FM.
Najua huko sasa hatutapumua mana kila baada ya dk kadhaa lazima wagonge ngoma zake, nami kwa njia hiyo nitakata kiu yangu.
 
Ndo yaleyale ya rozzay, anatumia dakika 10 kusema mo.ther fu.cker na dk 5 nyingine kuimba. Tamasha limeisha
 
kwanini hawaji wasanii walio kwenye kiki eg wiz khalifa,tyga,chrisbrown; wanakuja wazee..

ila sio kes, No Mediocore

chris brown and Wiz khalifa ndio kwanza albums zao zimedondoka kwa hiyo promotions zinazoambatana na tours kwa wingi sana. Kuwaleta lazima ujipange kikweli, ndio yale yale ya $ 300,000/= au zaidi!
 
Back
Top Bottom