Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msanii kutoka Marekani T.I ametangazwa leo kuwa. ndie msanii atakae burudisha kwenye serengeti fiesta itakayofanyika Dar
Msanii kutoka Marekani T.I ametangazwa leo kuwa. ndie msanii atakae burudisha kwenye serengeti fiesta itakayofanyika Dar
Si ilikuwa aje Chris brown imeishia wapi??
Atajiju
Chenga huyu
Atajiju
kwanini hawaji wasanii walio kwenye kiki eg wiz khalifa,tyga,chrisbrown; wanakuja wazee..
ila sio kes, No Mediocore
Ndo yaleyale ya rozzay, anatumia dakika 10 kusema mo.ther fu.cker na dk 5 nyingine kuimba. Tamasha limeisha
Hahahaa haaaa
Hili nalo neno
Ila yote katika yote, fiesta tamasha la watoto