Kabla ya yote naomba interviewer arekebishe taito kama tulivozoea mrembo fulani live mrembo fulani live ili tujue!! Is tiassa mrembo or gentleman??? Majina mengine tatanishi mfano halisi jana Ulweso [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu tulijua ni me kumbe ke.. Mtu unamuliza swali anaona unaleta madharau kumbe ni jina!!
Baby kuwa mkweli tu ulinisahauMy love,baby wangu yaani wewe hata nisipokutag hapa jua nimekutag moyoni
Swali kuntu sana hili...Ni ME au KE?
Nifah / the boldPrediction ya maswali....
Tiassa ni mtu wa aina gani?
Magufuli au Lowassa?
Chura au flat screen?
Ushawahi kutumia mtandao wa Tigo?
Kwanini ulijiunga JF?
Kweli kabisa majina mengine...Kabla ya yote naomba interviewer arekebishe taito kama tulivozoea mrembo fulani live mrembo fulani live ili tujue!! Is tiassa mrembo or gentleman??? Majina mengine tatanishi mfano halisi jana Ulweso [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu tulikua ni me kumbe ke.. Mtu unamuliza swali anaona unaleta madharau kumbe ni jina!!
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Swali kuntu sana hili...
Sawa kabisa mkuuu lakini sio kuwa unaongeza idadi ya reply?Asante mdau kwa mchango mzuri.
Ila nafanya hivyo kwa nia njema tu kukujuza huoni umepewa taarifa mapema!
sina uhakikaPachaa emmyta
Uhakika wa nini?sina uhakika
nipo tayari tuanze showOyooooooooo!
Weeeeeeeee!
Kumekuchaaaaaaàaaaaa!
Mambo viiiipiiiii!
Alright the weekend still on fireeeee!
Na DJ sepetu bado naendelea kukandamize mwana wane hadi wenye roho za kutuuu wafwe!
Hahahahaaa sina roho mbaya kihivyoo wacha waishi ili washuhudie mibaraka! Waoooh!
Whuuuuuu! Kudadeki ma fans!! WhatsApp ma niggas
CEO Wa kiwanda cha burudani trademark DJ sepetu bado nasongesha jiwe after jiwe!!
Haters where are you! Unajua nawapendaje yaaanii maana nawatumia as ladder to climb at higher levels!
So stay around! Another show!
OK OK wana chitchat hope mmekuwa na jumapili njeeema kinomaa!
Ndakukunda
Mwaagalaa nyooo waganda wange!
Hahaha! Relaxe Leo kijana mtanashati mtulivu na so Charming
TIASSA ataingia kikaangoni kuanzia mida ya kumi na moja,njooni nyote mtupie maswali!
Sasa team yangu njooni mpashe ukumbi jotoo!
kama ni pacha wa emmytaUhakika wa nini?
siogopi chochoteKaribu sana!
Katika maisha unaogopa nini zaidi kwanini