TIASSA live interview on DJ sepetu kikaangoni!

TIASSA live interview on DJ sepetu kikaangoni!

Kabla ya yote naomba interviewer arekebishe taito kama tulivozoea mrembo fulani live mrembo fulani live ili tujue!! Is tiassa mrembo or gentleman??? Majina mengine tatanishi mfano halisi jana Ulweso [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu tulijua ni me kumbe ke.. Mtu unamuliza swali anaona unaleta madharau kumbe ni jina!!
 
Kabla ya yote naomba interviewer arekebishe taito kama tulivozoea mrembo fulani live mrembo fulani live ili tujue!! Is tiassa mrembo or gentleman??? Majina mengine tatanishi mfano halisi jana Ulweso [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu tulikua ni me kumbe ke.. Mtu unamuliza swali anaona unaleta madharau kumbe ni jina!!
Kweli kabisa majina mengine...
Swali kuntu sana hili...
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]



Cc Smart911
 
Afu DJ naomba utupe ratiba ya interview zako kama tulivozoea zamani it was jumamos.. Ili tutune mind zetu. Habari za kushtukiza hizi sio njema kabisa unaeza kuta muda wa interview umegogana na ligi nyingine huko??? Kama saizi watu wengi wapo hukooo [emoji117] [emoji117] [emoji117]

Natafuta mume



Cc Smart911
 
Oyooooooooo!
Weeeeeeeee!
Kumekuchaaaaaaàaaaaa!

Mambo viiiipiiiii!
Alright the weekend still on fireeeee!

Na DJ sepetu bado naendelea kukandamize mwana wane hadi wenye roho za kutuuu wafwe!

Hahahahaaa sina roho mbaya kihivyoo wacha waishi ili washuhudie mibaraka! Waoooh!

Whuuuuuu! Kudadeki ma fans!! WhatsApp ma niggas

CEO Wa kiwanda cha burudani trademark DJ sepetu bado nasongesha jiwe after jiwe!!

Haters where are you! Unajua nawapendaje yaaanii maana nawatumia as ladder to climb at higher levels!
So stay around! Another show!

OK OK wana chitchat hope mmekuwa na jumapili njeeema kinomaa!

Ndakukunda
Mwaagalaa nyooo waganda wange!

Hahaha! Relaxe Leo kijana mtanashati mtulivu na so Charming

TIASSA ataingia kikaangoni kuanzia mida ya kumi na moja,njooni nyote mtupie maswali!
Sasa team yangu njooni mpashe ukumbi jotoo!
nipo tayari tuanze show
 
nipo tayari tuanze show
Jamani jamani puliiiiiiiiiiiiiizzzzzzzz naomba mpostpone hata badae sambili jamani sahivi huko mambo ni motoooo... Ni Ombi tu lakini.. Mi narudi huko see you leitaaaaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125]


Cc Smart911
 
Back
Top Bottom