TIASSA live interview on DJ sepetu kikaangoni!

TIASSA live interview on DJ sepetu kikaangoni!

ndiyo
Mchumba ni nayemtaka awe mrefu, asiwe mweusi sana, awe ni mtu anayependa Maendeleo,Ambaye tutasaidiana naye kwenye maisha, Awe mwenye busara na tabia njema na pia awe mkristo
Leo kuna hadi fursa za kupata wachumba

Dadeq
 
Leo baby wangu anapata shida kumuinterview kidume mwenzake...baby kuwa huru,funguka na yale maswali yetu pendwa
 
JF napendelea kuingia sana Majukwaa ya
Biashara uchumi
Jf tech
intelijensia
Ndomana kumbe
Huyu mgeni sijawahi muona aki... Msalimie tu sina swali
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Huu si uwanja si wake kiviile ni jitihada za DJ tu katika kazi yake... According to his profile Amejoin 2014

Cc Smart911
 
Unapekua mafaili mukwano
 
Back
Top Bottom