Chemsha ndevu za mahindi, kunywa mchuzi wake.
Mwambie huyo Rafiki yako anitafute Dawa ya kuweza kumtibu binti wake kuacha kukojowa kitandani ninayo akiweza kunitafuta bonyeza hapa.MawasilianoNimepata mengi jamii forums tangu nimeanza kuwa mwanachama. lAKINI LEO NINAOMBA MSAADA WA KIAFYA.Binti wa rafiki yangu anakojoa kitandani na ametumia dawa za Hospital nyingi sana bila mafanikio. Sasa hivi anaingia Form two.Jamani kweli imenitia uchungu shangazi mtu kunielezea na Binti tumeonana leo ni mzuri ambaye amakata tamaa ya kuendelea kusoma kwa maesengenyo ya ndugu zake anaolala nao.Ninaomba nisaideni kama mtu anajua dawa ya kienyeji au tufanye nini binti huyu aache kukojoa usiku akilala akumbuke aamke na aende chooni. ASANTENI KWA MICHANGO YENU
Nimepata mengi jamii forums tangu nimeanza kuwa mwanachama. lAKINI LEO NINAOMBA MSAADA WA KIAFYA.Binti wa rafiki yangu anakojoa kitandani na ametumia dawa za Hospital nyingi sana bila mafanikio. Sasa hivi anaingia Form two.Jamani kweli imenitia uchungu shangazi mtu kunielezea na Binti tumeonana leo ni mzuri ambaye amakata tamaa ya kuendelea kusoma kwa maesengenyo ya ndugu zake anaolala nao.Ninaomba nisaideni kama mtu anajua dawa ya kienyeji au tufanye nini binti huyu aache kukojoa usiku akilala akumbuke aamke na aende chooni. ASANTENI KWA MICHANGO YENU

Kule kwetu huwa kama ikinyesha mvua basi inatakiwa anywe yale maji ya kwanza kabisa yanayotembea iwe korongoni au mferejini ni tiba tosha nimeshashuhudia vya kutosha tu