Tiba/Dawa kwa mtoto au mtu kikojozi

Tiba/Dawa kwa mtoto au mtu kikojozi

Kule kwetu huwa kama ikinyesha mvua basi inatakiwa anywe yale maji ya kwanza kabisa yanayotembea iwe korongoni au mferejini ni tiba tosha nimeshashuhudia vya kutosha tu
 
Mfunge makopo kisha mtembeze mtaani mkimuimbia KIKOJOZIII...
 
Nimepata mengi jamii forums tangu nimeanza kuwa mwanachama. lAKINI LEO NINAOMBA MSAADA WA KIAFYA.Binti wa rafiki yangu anakojoa kitandani na ametumia dawa za Hospital nyingi sana bila mafanikio. Sasa hivi anaingia Form two.Jamani kweli imenitia uchungu shangazi mtu kunielezea na Binti tumeonana leo ni mzuri ambaye amakata tamaa ya kuendelea kusoma kwa maesengenyo ya ndugu zake anaolala nao.Ninaomba nisaideni kama mtu anajua dawa ya kienyeji au tufanye nini binti huyu aache kukojoa usiku akilala akumbuke aamke na aende chooni. ASANTENI KWA MICHANGO YENU
Mwambie huyo Rafiki yako anitafute Dawa ya kuweza kumtibu binti wake kuacha kukojowa kitandani ninayo akiweza kunitafuta bonyeza hapa.Mawasiliano
 
mdogo wangu tulikuwa tunampa maji ya mchele, baada ya kuosha anwekewa kikombe anakunywa, mpaka akaaacha
 
Nimepata mengi jamii forums tangu nimeanza kuwa mwanachama. lAKINI LEO NINAOMBA MSAADA WA KIAFYA.Binti wa rafiki yangu anakojoa kitandani na ametumia dawa za Hospital nyingi sana bila mafanikio. Sasa hivi anaingia Form two.Jamani kweli imenitia uchungu shangazi mtu kunielezea na Binti tumeonana leo ni mzuri ambaye amakata tamaa ya kuendelea kusoma kwa maesengenyo ya ndugu zake anaolala nao.Ninaomba nisaideni kama mtu anajua dawa ya kienyeji au tufanye nini binti huyu aache kukojoa usiku akilala akumbuke aamke na aende chooni. ASANTENI KWA MICHANGO YENU

dawa ya kukojoa kitandani ni Panzi peke yake...

tafuta Panzi yule mkubwa anayeliwa, choma vizuri aive , kisha anakula . Panzi mmoja tu anatosha kumtibu kabisa na ni chakula pia.
 
Nimepata mengi jamii forums tangu nimeanza kuwa mwanachama. lAKINI LEO NINAOMBA MSAADA WA KIAFYA.Binti wa rafiki yangu anakojoa kitandani na ametumia dawa za Hospital nyingi sana bila mafanikio. Sasa hivi anaingia Form two.Jamani kweli imenitia uchungu shangazi mtu kunielezea na Binti tumeonana leo ni mzuri ambaye amakata tamaa ya kuendelea kusoma kwa maesengenyo ya ndugu zake anaolala nao.Ninaomba nisaideni kama mtu anajua dawa ya kienyeji au tufanye nini binti huyu aache kukojoa usiku akilala akumbuke aamke na aende chooni. ASANTENI KWA MICHANGO YENU

Asiwe anakunywa maji baada ya saa12 jioni na akojoe kabla hajalala
 
Kule kwetu huwa kama ikinyesha mvua basi inatakiwa anywe yale maji ya kwanza kabisa yanayotembea iwe korongoni au mferejini ni tiba tosha nimeshashuhudia vya kutosha tu

humtakii mema, unataka aumwe
 
Nimepata mengi jamii forums tangu nimeanza kuwa mwanachama. lAKINI LEO NINAOMBA MSAADA WA KIAFYA.Binti wa rafiki yangu anakojoa kitandani na ametumia dawa za Hospital nyingi sana bila mafanikio. Sasa hivi anaingia Form two.Jamani kweli imenitia uchungu shangazi mtu kunielezea na Binti tumeonana leo ni mzuri ambaye amakata tamaa ya kuendelea kusoma kwa maesengenyo ya ndugu zake anaolala nao.Ninaomba nisaideni kama mtu anajua dawa ya kienyeji au tufanye nini binti huyu aache kukojoa usiku akilala akumbuke aamke na aende chooni. ASANTENI KWA MICHANGO YENU

Mkuu tatizo limekwisha
 
Ndevu za mahindi zichanganywe kwenye maji yaliyooshewa Mchele anywe kwa siku tano itakuwa historia kwaki.
 
Kuna madogo nimesoma nao walikuwa vikojozi katika umri mkubwa na mpaka hii leo lazima ni vikojozi tu maanake walishatumia takataka kibao lakini bila bila.

Hii issue pengine tatizo la kimaumbile maanake hata wakilala mchana wanajikojolea.
 
Habari za muda huu wadau,

Kuna rafiki yangu ana mtoto wake anakojoa kitandani. Ni mtoto wa umri mkubwa, anaomba msaada wa dawa.

Asanteni.
 
Last edited by a moderator:
Kukojoa ni raha mwacheni mtoto afurahie maisha yake lamsingi mnunulieni ile nailoni ya kutandika kitandani akitengeza bahari kama wiki hivi ataacha mwenyewe
 
Back
Top Bottom