Tiba mbadala ya Cancer inapatikana wapi?

Tiba mbadala ya Cancer inapatikana wapi?

Mshauri aende hospital, cancer ya ziwa inatibika kirahisi kuliko nyingine. Baba yangu mzazi alikuwa victim wa aina hii ya cancer ila kwa sasa ni mzima anaendelea na shughuli zake za ufundi kama kawaida.
 
Asante Mr. Miela baba yako alitibiwa hosp gani?

Mshauri aende hospital, cancer ya ziwa inatibika kirahisi kuliko nyingine. Baba yangu mzazi alikuwa victim wa aina hii ya cancer ila kwa sasa ni mzima anaendelea na shughuli zake za ufundi kama kawaida.
 
Kuna daktari mbobezi wa maswala ya saratani na anaelimisha kupitia vyakula na taratibu zingnine za kitabibu pia ni muandaaji wa vitabu na njia tofautu juu ya saratani naweza kushare namba yake mimi nilimsikia akizungumza kwenye redio naamini ni msaada pia 0765267166 kwa mawasiliano na kujiridhisha naamini atakua msaada kila la kheri.
Barikiwa sana mkuu
 
Kuna mizizi nimesikia inatoka Dongo Besh, ni dose tatu tofauti kila dose ni 50,000 unakunywa mwezi mmoja. Baadavya miezi mitatu ukipima uko clear. Si cancer tu hata HIV nisikiavyo.

Jambo jema sana hili. Tusaidie kupata taarifa zaidi ili watu wenye uhitaji wapate matibabu. Chemo sio mchezo...
 
Wengi mmetoa ushauri mzuri, ila mimi kwa ushauri wangu unaotokana na uzoefu apate hayo matibabu mliyomshauri ila asiache matibabu ya ocean road, mara nyingi hizi tiba nyingine hua zinatoa nafuu ya muda na baadae ugonjwa hurudia tena na wakati huo matibabu ya ocean road yatakua magumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MziziMkavu, Ninachojaribu kukwambia Ni kwamba mazingira yako ya kupata dawa ni Kama ya kitapeli,Kama wewe ni mkongwe tafuta hata ofisi ili uaminike,dawa zako Bei zake Ni mamilioni ,je unashindwa kutafuta hata kaofisi kakuzugia!!!.Na halafu Ni Kama mjanja mjanja . Allah ataninusuru kwa unalotaka kufanya.Nia yangu Ni kuwafungua watu wanapotaka kudili na wewe wawe makini.

Maana Ni Kama mjanja mjanja,Allah Ni mjuzi wa Kila kitu na Ni muweza wa kilakitu.Kama umedhamiria ubaya Allah augeuze ue Ni kheri kwangu kwani na Mimi namtegemea yeye pia.Ila kwa ufupi mazingira yako Ni ya kitapeli Sana kwa mtu ambaye Yuko smart kichwani hawezi kukuamini.

Kama una dawa mpaka za milioni kumi Ila huna hata ofisi ya 50,000 kwa mwezi je tukueleweje?Nia yangu Ni njema kuokoa umma wa Muhammad kwa Hilo Kama Nia yangu Ni Mbaya Allah anajua.Sikujui na hunijui Ila kwangu Mimi sijakuelewa Kuna Kila dalili ya utapeli.Kama Nia yako Ni njema Allah akufungulie zaidi ,Ila kama Ni kitapeli watu Allah akusamehe na akurudishe katika njia iliyonyooka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom