Tuwekee hapa Mkuu.Yupo rafiki yangu mmoja yeye ni Myahudi, aligundulika na cancer ya Kongosho. Kwa macho yangu nilishuhudia alianza kula organic food, alipewa ushauri na Rabi huko kwenye Sinagogi.
Sasa hivi yuko clear.
Sent using Jamii Forums mobile app