Yupo rafiki yangu mmoja yeye ni Myahudi, aligundulika na cancer ya Kongosho. Kwa macho yangu nilishuhudia alianza kula organic food, alipewa ushauri na Rabi huko kwenye Sinagogi.
Mshauri aende hospital, cancer ya ziwa inatibika kirahisi kuliko nyingine. Baba yangu mzazi alikuwa victim wa aina hii ya cancer ila kwa sasa ni mzima anaendelea na shughuli zake za ufundi kama kawaida.
Ukiona hivyo anajihami na kunitisha Kama unabisha mfate PM dawa anauza milioni 5 ,halafu Hana ofisi hela anakwambia umkabidhi mtu kichochoroni ,yaani kwa mtu unayejielewa na smart hauchukui Muda kujua huyu mjanjamjanja Kama huamini mcheki PM uulizie dawa yake.