MGANGA WA KIENYEJI
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 521
- 170
Asili ni asili. Hapo zamani kulikua hakuna Hospitali. Lakini kina mama wengi walijifungua bila operations. Lakini leo vipimo kibao lakini operation kila kona. Mfano sisi tumezaliwa 13 na mama yetu lakini bado yupo hai. Siku hizi wakikufanyia operation Mara 3 tu wanakufunga kizazi. Kulikoni?
sasa utatutibia au ndo umekuja kutuloga.....?
Peleka jukwaa husika. Anyway karibu sana.
Hapa halogwi mtu kuna MziziMkavu hauchimbwi dawa yupo mkuu Preta karibu Mkuu.@MGANGA WA KIENYEJ unakaribishwa kwa mikono miwili uje na heshima zako tunakupokea kwa furaha tunataka michango yako uwasaidie wanachama matatizo yao kwa moyo mkunjufu karibu sana usisahau kusoma sheria za forums yetu bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/utambulisho-member-intro-forum/61941-jamiiforums-rules.htmlsasa utatutibia au ndo umekuja kutuloga.....?