MGANGA WA KIENYEJI
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 521
- 170
Asili ni asili. Hapo zamani kulikua hakuna Hospitali. Lakini kina mama wengi walijifungua bila operations. Lakini leo vipimo kibao lakini operation kila kona. Mfano sisi tumezaliwa 13 na mama yetu lakini bado yupo hai. Siku hizi wakikufanyia operation Mara 3 tu wanakufunga kizazi. Kulikoni?