Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tiba ya chango la akina mama Dawa ninayo ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa.MawasilianoKaniuliza swali nini maana ya Michango kwa mwanamke,binafsi sikuwa na jibu ila baada ya kumdodosa akanambia anaugua Michango,akina mama ni tiba gani mnamshauri mama mdada Huyu atumie ...msaidieni
Michango kwa akina mama Mara nyingi huwa ni muwasho kwenye pango la uzazi (chronic pelvic inflammatory diseases). Tiba ni kunywa antibiotics kwa muda wa wk 2. Uchunguzi zaidi kutumia ultrasound ni muhimu kwani kunaweza kuwa na uvimbe kwenye viungo vya uzazi.