Tiba ya Chango, Tumsaidie huyu mama

Tiba ya Chango, Tumsaidie huyu mama

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,057
Reaction score
7,611
Kaniuliza swali nini maana ya Michango kwa mwanamke,binafsi sikuwa na jibu ila baada ya kumdodosa akanambia anaugua Michango,akina mama ni tiba gani mnamshauri mama mdada Huyu atumie ...msaidieni
 
Mpeni msaada huyo
 
wanawake saidieni hapa
 
Michango kwa akina mama Mara nyingi huwa ni muwasho kwenye pango la uzazi (chronic pelvic inflammatory diseases). Tiba ni kunywa antibiotics kwa muda wa wk 2. Uchunguzi zaidi kutumia ultrasound ni muhimu kwani kunaweza kuwa na uvimbe kwenye viungo vya uzazi.
 
Kaniuliza swali nini maana ya Michango kwa mwanamke,binafsi sikuwa na jibu ila baada ya kumdodosa akanambia anaugua Michango,akina mama ni tiba gani mnamshauri mama mdada Huyu atumie ...msaidieni
Tiba ya chango la akina mama Dawa ninayo ukiweza nitafute kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Michango kwa akina mama Mara nyingi huwa ni muwasho kwenye pango la uzazi (chronic pelvic inflammatory diseases). Tiba ni kunywa antibiotics kwa muda wa wk 2. Uchunguzi zaidi kutumia ultrasound ni muhimu kwani kunaweza kuwa na uvimbe kwenye viungo vya uzazi.

Sawa kabisa upo vizuri. Nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom